Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
GSM 8 - Bashite 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda ni jasusi
hakamatiki
Yupo anawachora tu
😂😂😂mako....ndaaa wakazie
Ukiwa mkubwa utajuabosi yanga kaingiaje?😄 au ndo mwendelezo wa mabifu ya watani.
huyu GSM kadhamini sehemu nyingi ila yanga kwakuwa ndo kampa umaarufu imebidi umpoint yeye daah
sawa.
Mkuu unapajua regent lakini? unahisi inaweza kukugharimu kiasi gani cha pesa kumiliki eneo kule? makonda atoe vielelezo au aende mahakamani kudai hiyoanayoiita mali yake, majambazi yamezidiana keteNdio maana mafisadi yaliyobobea utajiri wao wanaishi nao kwa amani kwa kutotafuta ugomvi usio na kichwa wala miguu.
Mtu kama Rostam au Lowassa wangetaka visasi ingekuwaje leo, hao GSM wanatafuta publicity ambayo siyo kabisa.
Uozo upi?View attachment 2148028
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.
Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Machi 12, 2022 jijini hapa Wakili Mgongolwa amemtaka mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kuweka wazi vielelezo alivyonavyo vya umiliki wa eneo hilo na vielelezo kutoka Wizara ya Ardhi vinavyompa uhalali wa kulimiliki.
Hata hivyo, Makonda alipotafutwa kwa simu leo, amejibu kwa ujumbe wa WhatsApp, akisema; “GSM usinilazimishe kusema uozo wako achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua.”
Kama hiyo haitoshi, katika ukurasa wake wa Instagram, Makonda aliweka video ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka ambayo pamoja na mengine alieleza haja ya kutaka Jeshi la Polisi kuchunguzwa, kisha akaweka ujumbe:
“Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu, ya kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi, wanaolipaka tope Jeshi la Jolisi kwa kuwalinda wafanyabiashara MATAPELI wanaodhulumu mali za watu. Naomba tuanze na Dar es salaam na mimi Paul Makonda niko tayari kutoa ushirikianao.”
Madai ya GSM
Akifafanua zaidi kuhusu umiliki wa ardhi hiyo, Wakili Mgongolwa amesema, mteja wake Ghalib Said Mohamed alinunua ardhi wilaya ya Kinondoni, eneo la Regent Estate plot no. 60, title no. 186153/60, kwa lengo la ujenzi wa makazi Novemba 21, 2006."
Vilevile, Mgongolwa amesema Septemba 2017, mteja wake aliingia mkataba na kampuni ya ujenzi iitwayo Group Six International (Contract Class One) kwa ajili ya ujenzi wa eneo hilo wenye thamani ya Sh640 milioni.
"Ghalib aliomba kibali cha ujenzi na manispaa ya Kinondoni walitoa kibali hicho Oktoba 16, 2017 chenye kumbukumbu namba 00020032 kwa Ghalib Said Mohammed kwa ajili ya ujenzi eneo hilo," amesema.
Ameongeza kuwa baada ya kibali hicho kutoka, Group Six walianza ujenzi na walipeleka malipo ya awali ya ujenzi Januari 31, 2018 huku mteja wake huyo akitekeleza sehemu ya mkataba kwa kulipa kiasi cha Sh51.92 milioni, malipo ambayo yana kithibitisho kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."
"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"
Mgongolwa alisema kufahamiana na mtu ni jambo lingine na miliki ni jambo lingine, hivyo ushahidi wa vielelezo kisheria unakingwa na vielelezo hivyo, ambaye anasema ni eneo lake aweke wazi vielelezo vya kisheria.
"Tunatoa changamoto kwa mtu yoyote yule aje akinzane na vielelezo vyetu, huu ni ujenzi kwa mujibu wa mkataba na haujasimamiwa na mjomba au shangazi," amesema Mgongolwa.
Alisema yeye yuko radhi kumsikiliza ili wakapambane, alisema kama kuna mtu anadhani anayo haki katika umiliki huo, lakini kwa sasa hawatafanya chochote na endapo ataendelea na matukio hayo hivyo basi ngazi za kisheria zitafuatwa.
"Hata tunaondokana na hisia tunaenda na uhalisia, yoyote yule anayesema aridhi ni ya kwake iwe kimahusiano au lah, aje na vielelezo kwetu, mtu mwenye dhana tofauti milango ya kimahakama iko wazi, ila kwa sasa hawatakwenda mahakamani," amesema Mgongolwa na kuongeza kuwa wajibu wangu kama mwanasheria ni kuthibitisha umiliki halali kwa mteja wangu.
"Hatua tutakazozichukua kuanzia sasa itategemea na matukio ambayo yatafuata kwani ndiyo yatatupa mwongozo wa nini tukifanye, ikitokea hatua ya kwenda mahakamani tutakwenda, ikitokea kuangalia ngazi nyingine tutalipeleka kwa kuwa maelekezo yetu yako wazi tunatakiwa kulinda haki ya teja wetu sambamba na jina lake," amesema.
Source: Mwananchi
Asante Mungu kwa kuwafitinisha watesi wetu...View attachment 2148028

Sio kusingiziwa huyo ndiye aliwapa kiburi Cha kufanyia wengine uovu Sasa shoka liko shinani maaaamaeeAtasungiziwa marehemu mwendazake
Ngoja tuone mwisho wakeinaonesha wamebadili gia mwezake sabaya kashazoea Hali halisi ya gerezani
Angekuwa ni pushover asingepiga kelele akaacha atendwe kama alivyowatenda wenzake. Alikuwa karibu na power za juu ndani ya nchi so anajua usipokuwa nayo unaweza tendwa vipi.Mkuu unapajua regent lakini? unahisi inaweza kukugharimu kiasi gani cha pesa kumiliki eneo kule? makonda atoe vielelezo au aende mahakamani kudai hiyoanayoiita mali yake, majambazi yamezidiana kete
Kwa hiyo toka aingie makubaliano ya kujengewa mwaka 2017 huyo GSM kalipa only 51.92M only kati ya milioni zaidi ya Mia 6??View attachment 2148028
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.
Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Machi 12, 2022 jijini hapa Wakili Mgongolwa amemtaka mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kuweka wazi vielelezo alivyonavyo vya umiliki wa eneo hilo na vielelezo kutoka Wizara ya Ardhi vinavyompa uhalali wa kulimiliki.
Hata hivyo, Makonda alipotafutwa kwa simu leo, amejibu kwa ujumbe wa WhatsApp, akisema; “GSM usinilazimishe kusema uozo wako achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua.”
Kama hiyo haitoshi, katika ukurasa wake wa Instagram, Makonda aliweka video ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka ambayo pamoja na mengine alieleza haja ya kutaka Jeshi la Polisi kuchunguzwa, kisha akaweka ujumbe:
“Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu, ya kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi, wanaolipaka tope Jeshi la Jolisi kwa kuwalinda wafanyabiashara MATAPELI wanaodhulumu mali za watu. Naomba tuanze na Dar es salaam na mimi Paul Makonda niko tayari kutoa ushirikianao.”
Madai ya GSM
Akifafanua zaidi kuhusu umiliki wa ardhi hiyo, Wakili Mgongolwa amesema, mteja wake Ghalib Said Mohamed alinunua ardhi wilaya ya Kinondoni, eneo la Regent Estate plot no. 60, title no. 186153/60, kwa lengo la ujenzi wa makazi Novemba 21, 2006."
Vilevile, Mgongolwa amesema Septemba 2017, mteja wake aliingia mkataba na kampuni ya ujenzi iitwayo Group Six International (Contract Class One) kwa ajili ya ujenzi wa eneo hilo wenye thamani ya Sh640 milioni.
"Ghalib aliomba kibali cha ujenzi na manispaa ya Kinondoni walitoa kibali hicho Oktoba 16, 2017 chenye kumbukumbu namba 00020032 kwa Ghalib Said Mohammed kwa ajili ya ujenzi eneo hilo," amesema.
Ameongeza kuwa baada ya kibali hicho kutoka, Group Six walianza ujenzi na walipeleka malipo ya awali ya ujenzi Januari 31, 2018 huku mteja wake huyo akitekeleza sehemu ya mkataba kwa kulipa kiasi cha Sh51.92 milioni, malipo ambayo yana kithibitisho kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."
"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"
Mgongolwa alisema kufahamiana na mtu ni jambo lingine na miliki ni jambo lingine, hivyo ushahidi wa vielelezo kisheria unakingwa na vielelezo hivyo, ambaye anasema ni eneo lake aweke wazi vielelezo vya kisheria.
"Tunatoa changamoto kwa mtu yoyote yule aje akinzane na vielelezo vyetu, huu ni ujenzi kwa mujibu wa mkataba na haujasimamiwa na mjomba au shangazi," amesema Mgongolwa.
Alisema yeye yuko radhi kumsikiliza ili wakapambane, alisema kama kuna mtu anadhani anayo haki katika umiliki huo, lakini kwa sasa hawatafanya chochote na endapo ataendelea na matukio hayo hivyo basi ngazi za kisheria zitafuatwa.
"Hata tunaondokana na hisia tunaenda na uhalisia, yoyote yule anayesema aridhi ni ya kwake iwe kimahusiano au lah, aje na vielelezo kwetu, mtu mwenye dhana tofauti milango ya kimahakama iko wazi, ila kwa sasa hawatakwenda mahakamani," amesema Mgongolwa na kuongeza kuwa wajibu wangu kama mwanasheria ni kuthibitisha umiliki halali kwa mteja wangu.
"Hatua tutakazozichukua kuanzia sasa itategemea na matukio ambayo yatafuata kwani ndiyo yatatupa mwongozo wa nini tukifanye, ikitokea hatua ya kwenda mahakamani tutakwenda, ikitokea kuangalia ngazi nyingine tutalipeleka kwa kuwa maelekezo yetu yako wazi tunatakiwa kulinda haki ya teja wetu sambamba na jina lake," amesema.
Source: Mwananchi
Hakawii kulia, walimdai vyeti akalia, Sasa vielelezo? Umbwa kabisa huyu kaja dar maskini kabisa kafanya robbing za teuzi wakampa bila kumjua...matokeo ni kutapeli kwa mgongo wa mamlaka...huyu mtoto kibaka Sana...alimkamata magufuli akawadhalilisha watu atakavyo umbwa kabisa...Mara kalete makontena hataki kulipa Kodi...ushamba wa kutoheshimu viongozi alimwambia Dr.mpango Nitakusemea kwa Rais ili asilipe Kodi, tena ukaombe msamaha,kafanya Mambo ya kikolomije hapa dar na serikalini...kavamia clouds tv kwa kutaka kick zake ziwe aired... eti oooh mi ndo nakula Raha number moja duniani umbwa kabisa.....huyu ndio alihusika na kupanga kumteka Mo, roma mkatoliki, tundu lissu kupingwa marisasi, kuvamia clouds, kutisha na kuchukua pesa na mali za wafanyabiashara kwa kigezo cha mamlaka, akajidai anapambana na drug dealers yeye ndio akawa coordinator kabisa wa hiyo Mambo....gsm akawa mtumwa hadi akajenga na kukarabati ofisi ya makonda...halafu Leo eti linalalamikia polisi...achunguzwe anamambo ya hovyo kabisa....wote mliye tishwa na lika solicite mali /pesa zenu muwekeni wazi Kama sabayaMakonda mbona unabwekea mbali?
Umetakiwa kupeleka vielelezo na sio kutaja majina ya watu walio nyuma au mbele...😂
kwenye kupora hapo sidhani, kama kweli hawajabackdate mkataba, 2013 Makonda hakuwa na nguvu, alikuwa DC tu enzi za Kikwete, alikuwa hajapata nguvu za JPM aliyeanza 2015. ninachojiuliza, GSM alikuwa na uhaba wa hela hadi auze kiwanja? pia ilikuwaje gsm ajenge kwenye kiwanja kile, alikuwa anamjengea bashite? kwa makubaliano gani sasa, mwanaume unakubali mwanaume mwenzio akujengee nyumba au tuelewe nini? hawa wote wanajichafua tu.Kwahio kakaa na huo uozo anasubiri nini?Yeye arudishe alichopora kwa watu au aende mahakamani basi,aache kelele [emoji3][emoji3][emoji3]
Malipo ya Ujambazi wake na Kutupa watu kwenye viroba unamsubiri
Ghalib hatakiwa kwenda mahakamani, yeye yupo salama, eneo lina hati yake, eneo lina vielelezo vyote namna alivyoliendeleza. anayetakiwa kwenda mahakamani ni bashite ambaye hana hati, wala vielelezo vya kuliendeleza, alichonacho ni mkataba tu ambao gsm anaweza kumruka.Hii battle ya Nini Wakati Kuna Mahakama Ya Ardhi, Hapa Issue ni ownership Tu.
.
So Gharib aende Mahakama Kuu (Land Division) afungue Kesi Ili Mahakama ifanye declare Kwa ambae ni Owner wa Hyo Disputed Property
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamrukaje? Kelele za Nini Wakati Hapa Dispute ni Ownership?.Ghalib hatakiwa kwenda mahakamani, yeye yupo salama, eneo lina hati yake, eneo lina vielelezo vyote namna alivyoliendeleza. anayetakiwa kwenda mahakamani ni bashite ambaye hana hati, wala vielelezo vya kuliendeleza, alichonacho ni mkataba tu ambao gsm anaweza kumruka.
Word upGSM sio wasafi na wala Makonda sio msafi.
ungekuwa unaelewa mambo ya mahakamani ungejua kuwa anayetakiwa kwenda mahakamani hapo ni bashite. GSM aende kufanya nini wakati yeye kila kitu kinatambulika na sheria? hati inasoma jina lake, vielelezo vya ujenzi n.k, bashite asipoenda ndio anapoteza haki yake, ila gsm asipoenda hapotezi kitu kwasababu haki yake tayari ipo mkononi mwake. hata kesho akimtibua bashite ni haki yake kwasababu eneo linasoma umiliki wake. kwahiyo bashite ndio anasubiriwa aende mahakamani. ndio maana hata alex mgongolwa pale hujamsikia kabisa akisema atenda mahakamani kudai umiliki, akadai umiliki ambao tayari gsm anao? anadai nini sasa hata mahakama itamshangaa. ila anatarajia kwenda mahakamani kwa wale watakaomchafua gsm.Wanamrukaje? Kelele za Nini Wakati Hapa Dispute ni Ownership?.
.
Kuna mabadiliko ya Baraza La Mawaziri, Huyo Dogo NW wa Arizi Ajiandae
Sent using Jamii Forums mobile app