Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

Mwenezi wa CCM mh Makonda amesema Watanzania waache Unafiki kwa kufanya marafiki wa Lowasa sasa ilhali wakati anaumwa hawakwenda kumuona

Tuache tabia ya kumsemea mtu mazuri baada ya kufa

Source: EATV
 
Katibu mwenezi Wa ccm amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na lowasa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali .
Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani mtwara katika shughuli za chama.
Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania NI wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.
Mpeni ukurugenzi wa bendi ya TOT Taarab huyu ndugu yenu. Naamini itamfaa sana. Wanaume hatuna gubu kama huyu dogo aisee!
 
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

View attachment 2901826
BASHITE katika ubora wake
 
Hilo dongo katupiwa kamanda wa anga.
Unakumbuka huyu mitrako ndiyo mwana ccm wa kwanza kumtuka marehemu lowasa pale dodoma? Unakumbuka wrwe na mazuzu wenzio wa lumumba mnaonunuliwa kwa t-shirt na kapero mlimsingizia kwamba amejinyea akiwa jukwaani??
Acheni unafiki wa kumsifu mtu mliyemfanyia kila aina ya figisu 2025
 
Unaandika insha nzima ili iweje?
 
Back
Top Bottom