Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

Huyu ndiye aliyemwambia Lowassa akapime DNA.
Lowassa alikataa kwenda jambo ambalo liliwaokoa watu wengi.
Butu mtu( Makonda) amechanganyikiwa akili,kwa kusema kwamba watu wengi wapo hapo mbele yake ambao hawapaswi kuwepo hapo.
Inanikumbusha maziko ya baba yangu mdogo.
Walifika waombolezaji wengi pale: Kingunge Ngombale Mwiru,Rais mstaafu Benjamin Mkapa,na wengine.
Sasa kijana( son) wa baba mdogo akauliza,"Hawa nani? Rafiki zake baba? Mbona sikuwaona baba alipokuwa anaumwa?"
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo Makonda amefika msibani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa ambapo amedai kuna watu anawajua hawakwenda kumjulia hali wakati anaumwa, walijikausha hivyo waendelee kukaa hivyo hivyo kimya.

Amedai mtu mwema ni yule ambaye mwanzako akipata matatizo utamjulia hali, hata ikitokea bahati mbaya akafariki basi unachakuzumngumza.

View attachment 2901905
Hebu tumsikilize hapa pia halafu tuone naye kama alistahili hata kutamka aliyotamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wengi tu hawakwenda kumuona CCM ns vyama vingine. Apunguze masimango. siyo kauli nzuri ya kuleta umoja. Bora angewataja kuondoa taharuki
 
Huyu jamaa apunguze ujuaji.
Makonda ni very interesting person.

Wanaomtuma Makonda au movement zake zinashangaza.

Ni kijana mzuri na ana potential kubwa.

God Father wake ni Sitta Kiongozi wa akina Kikwete na Lowassa kuelekea 2015 alikuwa anaongoza UVCCM wazi wazi dhidi ya Lowassa, 2015 hadi 2020 akawa upande mpya wa Magufuli ambao kwa wakati mwingine ukaonekana uko against upande wa Magufuli.

2023 amerudi Chamani, na nguvu na anaonekana anafanya poritical moves zinazomjenga haswa, now kwenye msiba wa Lowassa amefanya bonge La move kwa kuwafariji team Lowassa kwa njia ya kumsimanga adui yao namba 1 na kuwambia naweza kuwaongoza na walipe kisasi.(Not Literally).

Makonda ni either TISS muandamizi au Silaha ya wenye Dola na CCM
 
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

View attachment 2901826

Tatizo la Ndugu Makonda ni kwamba hana uchaguzi wa maneno yeye lolote tu huwa anaongea haijalishi muktadha gani yupo hii ndio yake shida kubwa.

Kulikuwa hakuna haja ya kuongelea mambo ya hao ambao walikuwa wapo kimya na wasiomtembelea huko hospitali wakati anaumwa.

R.I.P ENL
 
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

View attachment 2901826
My president is black - Young Jeezy ft Nas
 
huyu jamaa itamchukua muda mrefu sana kuja kuwa na akili.
 
..
20240213_044014.jpg
 
Back
Top Bottom