Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

Sitarajii kuona Lissu,Mbowe,Lema,Mnyika na sampuli zingine za. Wetu kama hawa wanapewà microphone Kutoa salamu za rambirambi kwenye Msiba wa Mzee wetu Mpendwa Lowassa kwani waliwahi kumchafua pakubwa sana
.
Yeye alishamalizana nao na wakampa nafasi ambayo chama chetu hakikumpa so hiyo sio hoja maana yeye amekwenda huku akiwa na amani nao Kwa heshima waliyompa .Mbona sisi kama ccm tulimdhihaki kuliko hao

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Maturubali hayo mnayosema kila uzi, haya nyie endeleeni tu na uchuro 😄
 
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.

Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama.

Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli itakuweka huru kwamba badhi ya watanzania ni wanafiki hasa wale waliokuwa na ukaribu na kiongozi huyo enzi za uhai wake.

"Tuache unafiki kuna wengine wanajiita marafiki wa Lowassa na hawakwenda kumuona halafu baada ya kufariki wanajifanya wao marafiki zake lakini hawakujitokeza waache kumsemea mtu mazuri baada ya kufa"

View attachment 2901826
Na kuna watu walimhusisha na Richmond Leo wako kimya
 
Back
Top Bottom