Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

Sitarajii kuona Lissu,Mbowe,Lema,Mnyika na sampuli zingine za. Wetu kama hawa wanapewà microphone Kutoa salamu za rambirambi kwenye Msiba wa Mzee wetu Mpendwa Lowassa kwani waliwahi kumchafua pakubwa sana
.
Yeye alishamalizana nao na wakampa nafasi ambayo chama chetu hakikumpa so hiyo sio hoja maana yeye amekwenda huku akiwa na amani nao Kwa heshima waliyompa .Mbona sisi kama ccm tulimdhihaki kuliko hao

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Maturubali hayo mnayosema kila uzi, haya nyie endeleeni tu na uchuro 😄
 
Na kuna watu walimhusisha na Richmond Leo wako kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…