Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maza alishasemaga yumo jf na anasoma mbona[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]Sio kila aliepo JF ni mla TUNDA KIMASIHARA heshimuni kauli sa watu nilisema siku mimi,humu ndani ambae hayupo n mama samia tu tena (labda)
[emoji3][emoji3]Sio kila aliepo JF ni mla TUNDA KIMASIHARA heshimuni kauli sa watu nilisema siku mimi,humu ndani ambae hayupo n mama samia tu tena (labda)
Ukisoma comments kama hizi halafu utegemee eti Tanzania siku moja itakuwa nchi ya viwanda basi ndiyo ujue kwamba tuna vijana wa hovyo kabisa kuwahi kutokea zama hizi...Kama Bashite atarejeshwa na Le general Lengai ole Sabaya naye arudishwe ili utatu mtakatifu wa mnyeti Makonda Sabaya ukamilike. Maana nchi imekuwa nyoro nyoro sana.
Well said [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kama nchi, tumefikia hatua mbaya sana iwapo hata watu wa aina ya huyu Bashite na wao wanaonekana kuwa ni viongozi wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi.
Nchi imeshuka viwango kwelikweli.
Labda niongezee tu kidogo kwenye hayo niliyoyasema mwanzo; kwa vile sasa yaliyotabiriwa yametimia.Well said [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Ungeweka na vithibitisho vya mawazo yako sio kuongea tu hewani ni sawa mimi nitoke tu huko nmwambie mtu wewe ni mjinga wakati hata sisemi ujinga wako.Kama wewe ni 'chawa' wake (mnavyojitambulisha wenyewe siku hizi), ni lazima uchukulie hivyo ulivyoandika hapa, kwani huwezi kuona vinginevyo.
Inahitaji 'justification' gani kujua kuwa mama hana karama ya uongozi? Muda aliokaa madarakani hakutoshi kukuonyesha upungufu mkubwa alionao? Unahitaji 'justification' ya namna gani?
Kama itakuwa ni "msukumo wa chuki" ya kutopenda inakoelekzwa nchi hii chini ya uongozi wa huyu mama, sina lolote la kujutia kuhusu chuki hiyo.
Duh mtu anaweza kumuita waziri ofisini kwake na akampa maelekezo unaliza kapanda au kashukaWakuu hapo amepanda au ameshuka ?
Mkuu Sasa ungeleta matarajio atatusua au atachemkaKwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
kama wewe makazi yako siku zote ni ndani ya pango lenye kiza kikubwa, kusikofika na mwanga wowote, nipo tayari kukupa hiyo mifano unayoitaka wewe kwa vile hakuna lolote unalolifahamu.Ungeweka na vithibitisho vya mawazo yako sio kuongea tu hewani ni sawa mimi nitoke tu huko nmwambie mtu wewe ni mjinga wakati hata sisemi ujinga wako.
Mama amewapiga hata wasaidizi wake Suprise.Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
Ndiyo maana USA haijawahi kuchagua Rais mwanamke!Ukisoma comments kama hizi halafu utegemee eti Tanzania siku moja itakuwa nchi ya viwanda basi ndiyo ujue kwamba tuna vijana wa hovyo kabisa kuwahi kutokea zama hizi...
Labda niongezee tu kidogo kwenye hayo niliyoyasema mwanzo; kwa vile sasa yaliyotabiriwa yametimia.
Hatua hizi za uteuzi zinazofanyika siku hizi huko ndani ya chama cha Mapinduzi, na huko kwenye serikali yake; hizi ni dalili nzuri, ni ishara tosha kwamba huko ndani ya chama na serikalini hawana tena jipya la kuwafanyia waTanzania.
Teuzi hizi zina dalili zote zinazoonyesha kutapatapa. Siyo teuzi za kujiamini, au zenye lengo la kuleta ufanisi. Lengo kuu limekuwa "kubaki salama."
Tena hali mbaya inayoogofya.Kama nchi, tumefikia hatua mbaya sana iwapo hata watu wa aina ya huyu Bashite na wao wanaonekana kuwa ni viongozi wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi.
Nchi imeshuka viwango kwelikweli.
Mkuu, mtoa taarifa wako anaaminika 100%!Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
SaluteMtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi