Pre GE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.

Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi hii.

Tunamuombea Mungu amlinde Paul Makonda na viongozi wengine wenye nia njema na nchi yetu.

Arusha imepata Mkuu wa Mkoa Chuma kweli kweli.
 
Kama ni kweli itakuwa mama amechukia makonda kupendwa na wananchi kipindi anakagua miradi na kutatua changamoto lukuki zilizokithili kipindi hiki.Mama ameamua kumficha huko .chawa wanapenda sifa zote apewe yule
 
Alishindwa dikteta Magufuli aliyekuwa CIC ataweza huyo nyamitako? Ajaribu kama hajafa yeye na kuiacha Chadema ikizidi kuchanua.
 
Biashara ya wizi wa magari imeota mbawa Arusha ndiyo maana wanaweweseka.

Makonda hatavumili huo ujinga
 
CHADEMA haina ngome ARUSHA bali Nchi nzima, sasa kujifariji namna hio ni Sawa na MTU aliyebanwa kisha anajizuia, think big little brother
 
Wewe ni mchepuko?
 
makonda ni mwajibikaji kokote yupo tayari kuitumikia nchi na kubwa zaidi ni kwa kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana kwa kusimamia vyema pesa za mama yetu kipenzi
 
Makonda namkubali kwa uongozi wake lakini kuwa Mkurugenzi wa tume huru ya Uchaguzi nasema hapana tena hafaiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…