Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi hii.
Tunamuombea Mungu amlinde Paul Makonda na viongozi wengine wenye nia njema na nchi yetu.
Arusha imepata Mkuu wa Mkoa Chuma kweli kweli.