Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

JPM tangu waziri wa Ujenzi alikua na wapinzani.

Makonda si alisema anawindwa na wauza dawa za kulevya ila alivyokua benchi hawakumtafuta.

Hata hivyo ni ngumu political figure akasuka mpango wa kumuua mtu ambaye yupo kwenye spotlight na asihisiwe
Ni kweli ila wapinzani hawawezi kulingana na kiwango alipofika ngazi ya uraisi , kwa kila stage ya cheo kadri cheo kinavyoongezeka pia maadui/wapinzani huongezeka kutokana na kuongezeka kwa sekta unazozigusa
 
Fear of the unknown.. Ama kutaka kuukimbia ukweli.. Kuna kivuli kinamuandama na kinamtisha kama jinamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli Makonda alishiriki vitendo vyote viovu wakati wa Magufuli kama kuteka, kuua na kutesa. Nini usichokijua hapo
 
Ulivyo punguani hujui umuhimu wa nyusi..hivi nyie mlienda ata shule kweli?

Ukiulizwa umuhimu wa mkia kwa mnyama na yenyewe utashangaa..

Hopeless kabisa
Mbona wanawake wananyoa nyusi na kupaka rangi nyeusi? Nyusi hazina kazi
 
Kumbe wewe ni mpumbavu Kam kweli uloyasema ni wewe na akili Yako na kwamba hakuna aliye hark account Yako.
 
Nitamsikiliza baadae nipo kwenye ofisi za watu
 
Nitoke vipi!!
 
Lucas de Mwashambwa
 
Safi sana !!
Wanyooshwe tu !
Walifurahi sana Mwamba alivyoondoka !!
Ngoja tuone watafanya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…