mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hatar sana !Ni madai ya nyamitako mwenyewe kuwa maccm wenzake wanataka kumtoa roho.
Mwalimu alisemaga ukila nyama ya mtu huwezi kuacha !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatar sana !Ni madai ya nyamitako mwenyewe kuwa maccm wenzake wanataka kumtoa roho.
Mpaka mkubwa wa Nchi kusema vile ujue humo ndani ni balaa !!Tangu kuanzishwa kwa CCM, siasa za kurogana na kuwekeana sumu na kuuana ndiyo jadi yao.
Kwa sisi tuliokuwa na akili miaka ya 1970s tunaelewa sana hayo mambo, hasa kwa waliokuwa pale idarani.
Ipo siku mafile ya siri yatawekwa hadharani kudhihirisha umafia wa wana CCM na serikali zake.
"CCM hatuachiani maji mezani", Jakaya M. Kikwete.
Duh 🙄 !Amuulize Magufuli,hapo cha muhimu awe makini tu.Akipuuzia watamuondoa CCM wauaji wakubwa. Tena huyo Nchimbi ndo balaa kabisa. Huyo Nchimbi ndo mmoja wa wanaomiliki account ya Kigogo kule twitter.
wapumbavu ni wapumbavu tu, we hujawahi kuwa na akili, kinachokusumbua ukabila. Magufuli alikuwa shetani aliyeharibu nchi yetu hatakiwi hata kutajwa kokote.Sasa Shujaa Magufuli apumzike kwa Amani
Ahsante Sana kwa Zawadi uliyotuachia ya Huyu Bwana mdogo Paul Makonda 😄
Navalonge swela 😂
Makonda amerudi,unashangaa nini? Kesi za utekaji hujasikia zilivyorudi kwa kasi? Uchaguzi unakaribia,usishangae kusikia tena maelfu ya viroba yakionekana ufukweni.Mungu awalinde sana wale wote wanaoenda kinyume na huyu mtu,siku zao zaweza kuwa chache.Hizi Siasa za Kurogana na Kuwekeana Sumu niliamini ziko Vyama vya Upinzani sasa Kauli ya Mwenezi wa CCM imenishtua Sana
Imenikumbusha enzi zile Wabunge wa Chadema walikuwa na dada zao Viti Maalum kwa ajili ya kuwapikia chakula kuepuka kulishwa Sumu Mitaani
Hata Dr Slaa alilalamika Chumba chake kurushiwa ungaunga kama ule wa Joka la makengeza bungeni
Yaani tunarudi kule kule dadeki [emoji209]
Hujui kitu kaa kimya wewe dogoMakonda ni kijana mdogo? Kwahiyo nina muda bado kumbe.
Hata hivyo naamini yeyote ambaye alitaka kumuua Makonda angefanya hivyo kipindi yupo benchi.
Alikua vulnerable na hata jamii ilimsahau. Kama mtu hakufanya hivyo pale sioni ni kivipi afanye hivyo sasa hivi.
Hivyo kwa maoni yangu kauli ya Makonda ni ya kujihami na siyo kwamba kuna tukio hilo.
Duh 🙄 !wapumbavu ni wapumbavu tu, we hujawahi kuwa na akili, kinachokusumbua ukabila. Magufuli alikuwa shetani aliyeharibu nchi yetu hatakiwi hata kutajwa kokote.
Makondo leo nimemwelewa kitu kuanzia kuewekewa Sumu chumbani mpaka kwenye Chakula nimemwelewa sana, watu wanawinda vibaya sanaKatibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema
"Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga mnapoteza muda tu. Nataka kila kiongozi awajibike kwenye nafasi yake.
Waliopo serikalini wote wana magari, nyumba na wanaheshimika kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan Kwanini hatumsaidii kazi? Tabia ya kusubiri Rais ana ziara ndiyo mnajitokeza na mkifika pale ooh Mama unaupiga mwingi hapa ni wewe tu!... Ngojeni dawa yenu inachemka."
Mtajuana wenyewe huko, mnauanaKatibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema
"Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga mnapoteza muda tu. Nataka kila kiongozi awajibike kwenye nafasi yake.
Waliopo serikalini wote wana magari, nyumba na wanaheshimika kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan Kwanini hatumsaidii kazi? Tabia ya kusubiri Rais ana ziara ndiyo mnajitokeza na mkifika pale ooh Mama unaupiga mwingi hapa ni wewe tu!... Ngojeni dawa yenu inachemka."
Kashashtukia mchezo watu washamtonya unajua nini mnapopanga mipango ya nanihu kuna wale ambao hawapendi Ila nao wanakua washiriki na nanihu sasa hao ndio wanaovujisha data kuwatonya upande wa pili kwamba jamani eeh muwe makini huku kuna mpango umeandaliwaPaul Makonda awe makini na kauli za kuhusu uhai wake kuwindwa, inawezekana akawa anaropoka kuchangamsha genge ila ikaja kumgharimu kweli. Aione Bashite
Unaudhihilisha upumbavu wako mbele ya hadhara.Sasa huyu Makonda hata akifa kuna hasara gani? Ni sawa na nyusi kujipa umuhimu kwenye jicho.
Ukiwa mbele au nyuma?Nasema nasimama na makonda
Mbona Sasa hivi ni Waziri mkuuMakonda anastahili kupewa uwazir mkuu