Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Baba jesca ndo anapenda hivyo leo atakua amefurahi kweli
Wanavyojifanya kuhubiri vya Mungu kumbe ushenzi tu[emoji57][emoji57]
Aanze kujichapa yeye kwakufoji vyeti
 
Wendawazimu ndivyo walivyo! Hakuna sheria yoyote ile nchini ambayo inawazuia wafanyakazi kudai nyongeza ya mishahara. Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
Namna anavyoongea hupati shida kung'amua kwamba kwenye ile sehemu ndani kichwa inayohifadhi ubongo, ya kwake imejaa wadudu.
 
Reactions: BAK
Wendawazimu ndivyo walivyo! Hakuna sheria yoyote ile nchini ambayo inawazuia wafanyakazi kudai nyongeza ya mishahara. Huyu jamaa ni mpuuzi sana.

Kumbe mna mahaba na habari za Makonda eh? Makamanda bana
 
Mpuuzeni huyo,matamko lukuki yasiyo na kichwa wala miguu
 
yeye si akina GSM wapo na yule mwingine wa Tanga aliyechukua gari lake, kwa ujumla anao wengi ambao anavuta lazima apayuke hivyo.
 
cheo cha kisiasa hata aliyesoma MEMKWA anaweza kuteuliwa ndio maana anaweza kuropoka chochote.
 
ameshajipandisha cheo kuwa waziri wa kazi?
mbona hasemi kuwa akiwaona wenye vyeti feki atawachapa viboko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…