Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Ujinga usio na madhara ni bora kuliko elimu isiyo na faida, akili yake sijui iko wapi bila masilahi mazuri mzee ufanisi wa kazi unakuwa mdogo sana
 
Si mlisema kuwa hamtaandika habari zake Paul Makonda?? Sasa imekuwaje hadi mnaanza kumtafuta kijana wa watu? Au zilikuwa hasira tu. Makonda noma, mtake msitake, mtamuandika tu!
hata kama mtu humpendi lakini akitoa harufu ya ushuzi utamwambia kuwa kajamba.
 
Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda.
wanadai mishahara huku hawfanyi kazi?hii nchi siku wafanya kazi wasipo fanya kazi masaa mawili tu hapatakalika.usipende kuchangia mada ambazo huzielewi.kama hawafanyi kazi hata huo mshahara wanalipwa wa nn si wasilipwe kabisa.
 
Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda oyeeeeeeeeeee
Nina uhakika wewe ndiye DAB mwenyewe
 
HIVI HUYU JAMAA NI MKUU WA MKOA AU MAKAM WA KWANZA WA RAIS?
 
The guy's in a horrible state of insanity.
 
baada ya ridhiwani sasa ni zamu ya bashite kutesa
asavari LIZ
alikuwa kama panya
anauma huku anapuliza na hakuwa na majivuno yote ni kwa 7bu tangu mtoto pesa ipo lkn huyu aliyetokea huko "CALL ME J" dhiki za utotoni na tabu za maisha leo amepata basi dah !
taaaaaaaaabu kweli kweli ila kila chenye mwanzo akikosi mwisho
PINDA yuko wapi wapigweee tu leo analimna asali huko kwao
Nape chaliii
Yusuph makamba yu wapii
mpk jiji likaitwa la makamba
ipo siku tu naye atapotea

hili jamaa ni la hovyo sijapata ona
 
Nimegundua wewe una akili kubwa sana lakini umeamua kuzidumaza na kujifanya hamnazo sijui kwanini umeamua hivyo labda unanufaika kwa namna moja au nyingine ndiyo sababu uko hapa kucha kutwa kuwatetea hawa wahuni na mafisadi. Pole zako nyingi.

Ungekuwa hauna akili ulizoandika hapo ungejuaje kwamba zipo!!! Eeeeeeeh

Kiroja na kuni quote umefanya hivyo bila kulazimishwa fan wangu wewe.

Mtanyooka tu
 
huyo bwana sijui anajiamini nini hapa dunian yan unaweza sema yy ndio de facto power iliyopo nyuma ya mkuu wa kaya

ile hadith ya watoto a msingi isemayo muwa uliozamisha meli inaweza kuonesha uhalisia wake kupitia huyo bwana na ndguye
 
Mbona tulikua tumeshamsahau huyu mtu kwani shida ni nini
 
Mimi nasikia kichefuchefu hasa nilikiskia huyu jamaa anaongea nikifikiri kuja likizo nyumbani tz namfikiria huyu naichukia tz kabisa
 
Hata humu nilikuwa sioni habari zake,naona uzalendo umewashinda!
 
Back
Top Bottom