Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

Mkuu Paskali, Wakristo na Waislamu wana miungu wawili tofauti kabisa. Wa kwanza wana Mungu mwenye mtoto wa pekee ambaye ndiye Yesu Kristo, wa pili wanaye Allah ambaye hana mtoto.
 
Kaka mkubwa Paskali, naomba kutofautiana nawe. Allah na Yesu hawawezi kuwa kitu kimoja. Unless ukiambie Yesu si Mungu kwa wakristo. Labda nikuulize swali, Yesu ni mtume au Mungu? Sababu tunaambiwa Mtume Mohamed SAw ni mtume. Is yesu God?
 
sawa Pascal Mayalla ngoja tuwaombee wauwaji, waishi miaka mingi na wawauwe watanganyika kwa wingi! zaidi ya MO29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…