Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Sizani kama ametumwa ni vile anaishi ndani ya hulka yake ya kujiona bora zaidi na mwenye haki miliki ya nafasi zote mbele ya kusanyiko la watu, alichifanya si siasa ni kumdhalilisha Mh Raisi haswa Kwa uwepo wake hapo kama RC. Kufuatilia hili Jambo ni dhahiri kuna ombwe kubwa la wananchi hata hizo kauli za kutusiwa Mh Raisi hawajaziona na hata Kwa wachache waliziona wakapuuzia na kumpuuzia mtusi wake sasa kitendo cha mfia vyeo kuliongelea imekuwa gumzo la wengi wao kuona nini kipo ndani ya kauli chagua hizo na kutaka kujua ukweli wa yaliyo andikwa kwako.
Haina ya watu wanaomzunguka Raisi Samia wengi wao si wazuri kwake na hili linachangiwa na kutokuwa mzoefu Sana na siasa za bara hivyo anaingizwa kwenye shida kila mara ambazo hakukuwa na sababu ya kufikia huko abadani.
Nchimbi msaidie Raisi kunyoosha wapuuzu wote walio na nasaba za chama kwani aibu za namna hii hazikubaliki kamwe Kwa ustawi wa CCM.