Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Haya ya Makonda nayo yanawachukulia muda watu?
Chukulia tu hilo la kutoa muda hadi Jumatatu....!
Kuna kizuizi kipi cha kuwataja leo au kesho?

Haya ni mambo ya kitoto kweli kweli!

Haya basi, ni waziri gani, au mhusika yupi atajitokeza mbele afanye hayo anayo tishiwa na Bashite ili atajwe?

Nchi yetu imekuwa na mambo ya kitoto kweli kweli siku hizi. Kwa bahati mbaya siyo kwa Bashite pekee anayeonyesha utoto mwingi, hata bosi wake mambo ni yale yale ya kitoto kitoto hivyo hivyo.
Leo anasema wafanya biashara si waaminifu, anasahau yeye mwenyewe ndiye aliye wachochea wasiwe waaminifu na kulipa kodi stahiki.
Mkuu Kalamu heshima sana. Hicho kitisho cha ''mpaka Jumatatu'' ni muujiza mwingine ambao hupatikana ndani ya CCM tu. Hakuna mantiki ndani ya hicho kitisho na muda aliotoa. Ila kwa taarifa ambazo hata mimi nimeshindwa kuzithibitisha ni kuwa kuna timbwili la ndani kwa ndani la siku nyingi kati ya Samia vs Kinana + Makamba Jr + Nape and co. Hili nililisikia siku nyingi lakini nikawa nimepuuza baada ya Makamba kupewa uwaziri wa Nje. Ila huyu mwehu Bashite ni mzuri sana kwenye kusoma migongano ndani ya CCM na kujitafutia ''ushujaa''. Inawezekana akawa hajajiropokea tu.
 
Basi hao watakuwa wana nguvu sana hadi kusigana na Rais aliyepo madarakani na hii ina prove kuwa mama naye ni zero brain. Inakuwaje Rais utishwe na wasaidizi wako? Yaani Nape na Makamba wanamtisha na kuwa na Bifu na Amiri jeshi Mkuu wa Nchi? Aibu hii.

Kimsingi toka Makonda aropoke hayo, binafsi nilijua anawalenga hao tu. Inasikitisha sana Rais kutishwa na kuwaogopa vijana ambao wananukia maziwa ya mama yao. Maziwa walionyonyeshwa na mama yao bado hajajaisha mdomo mwao.
 
Umama ni nyumbani siyo serikalini

Serikalini tunasurvive kwa kutumia akili na kulegeza mikono ya wale walio juu yetu
 
Basi hao watakuwa wana nguvu sana hadi kusigana na Rais aliyepo madarakani na hii ina prove kuwa mama naye ni zero brain. Inakuwaje Rais utishwe na wasaidizi wako? Yaani Nape na Makamba wanamtisha na kuwa na Bifu na Amiri jeshi Mkuu wa Nchi? Aibu hii.

Kimsingi toka Makonda aropoke hayo, binafsi nilijua anawalenga hao tu. Inasikitisha sana Rais kutishwa na kuwaogopa vijana ambao wananukia maziwa ya mama yao. Maziwa walionyonyeshwa na mama yao bado hajajaisha mdomo mwao.
Ndugu, hili hata wakati ule wa Magufuli diktekta lilifanyika. Unakumbuka siri za ndani zilivyokuwa zinatoka hadharani? Hivi vinakuwakuga ni vita vya chini kwa chini na siyo dhahiri. Halafu usisahau Samia alivyoingia madarakani. Halafu anatoka Zanzibar. Pamoja na uamirijeshi wake mkuu, bado anahitaji sana timu Msoga na timu Magufuli kwenye uchaguzi.
 
Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.

Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.

Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.

Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.

Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.

Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!

Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?

Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu 🙏.
Sijui kwa nini inanikumbusha mmiliki feki wa Tanzanite media.
 
Hafai kuwa rais. Tuungane aondoke
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli.

Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema.

Kwamba hakusema tu kwa bahati mbaya. Alipewa baraka zote na Samia, ili kutuma ujumbe kwa watu flani flani.

Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.

Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.

Gavana Makonda kawapa watu hao mpaka Jumatatu ya wiki ijayo wawe wameacha mambo wanayoyafanya, la sivyo, atawataja kwa majina!

Sasa swali ibuka ni, je, Gavana Paul Makonda naye ametumwa na Rais Samia awafikishie ujumbe watu hao kama vile ambavyo ilidaiwa Jenerali Mabeyo alivyotumwa?

Wajuzi wa mambo tujuzeni basi na sie tusio na huo ujuzi na ujuvi wenu 🙏.
jambo muhimu zaidi sio kutumwa au kutokutunwa, ile ya maana zaidi ni kuchapa kazi ya kuwatumikia waTanzania kwa bidii na weledi wa viwango tajika 🐒

none crietive leaderz, lazy leaderz, corrupt leaderz, hypocrite leaderz, puppet leaderz among others, their days are numbered 🐒
 
Sasa leo/ jana huko Arusha, Gavana wa mkoa huo, Paul Bashite Makonda, katishia kuwataja watu wanaowatuma baadhi ya watu kumtukana Rais Samia kwenye mitandao ya kijamii.

Gavana Makonda kasema anawajua watu hao ambao kati yao wapo na mawaziri wa serikali ya Samia.

Huyo hajatumwa, kashazoea kuongea ongea tu...
 
Back
Top Bottom