More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Makonda kapewa Uenezi badala ya kupambana na upinzani yeye kanyoka Moja Kwa Moja kupambana na Ccm wenzie, na hichi ndio kimemla, sasa sijui kama ameona Ccm ndio tatizo au shida nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, dogo hajatumwa na akiendelea hivi, soon maji yatazidi unga!.NN kama unafuatilia kuna nyuzi moja ya Pascal Mayalla ikiuliza lini Magufuli alifariki. Swali hilo limezungumzwa sana bila majibu. Iwe kwamba Gen Mabeyo alitumwa na Rais au la sidhani kama ni hoja kubwa, muhimu ni kwamba kulikuwa na msukumo wa kujibu na kueleza nini kilichojiri kama sehemu ya 'damage control' kutokana na tukio lilivyokuwa handled.
Kwa upande wa Gavana ni habari tofauti kabisa. Huyu bwana ni 'attention seeker' lakini pia ilikuwa exagerated na JPM aliyependa sana 'stunt' zake na hivyo kumfanya awe alivyo, kwamba ana survive kwa hilo.
Unakumbuka alisema nini kifo cha Mengi na Bosi wake alisema nini. Ni mtu ambaye hata kwenye chama wanamjua yupovipi. Mjauzi aiport kabla haijaltulia ni huko Monduli . Haikuanza leo na si dhani kama anatumwa
Hivyo kinachoendelea sasa ni mwendelezo wa kujikomba, ila sasa ni kujikomba kwa Maza!. Hajatumwa chochote na Maza, ni kujikomba tuu!, tena nawahakikishia hana jina hata moja la kutaja!., naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.
Dogo ana ushujaa na ndio unaomtofautisha na wanasiasa wa rika lake.Kawapa Ultimatum...! 🤣🤣
Mimi sio Mwanasaikolojia in such lakini nauelewa vizuri utofauti wa uongozi wa Hayati Magufuli na huu wa sasa
Paul Makonda anajua sana kuwasoma viongozi wake wa juu na anajua sana kujipendekeza kwao kwa maslahi yake, halafu amejaliwa ujasiri no matter what
Inawezekana Samia hajamtuma, lakini pia SSH huwa anapenda sana kupata Mtu wa kumuongelea kwa niaba yake...hasa katika mambo mazito au magumu, mara nyingi humtumia PM wake
Na hili Makonda ameshaligundua, kwa Mfano tofauti na Magufuli...SSH hawezi kumtaja moja kwa moja Waziri anayevurunda au hata kuitaja wizara lakini Makonda anaweza
That's it,
Hahahaa!!
Kifupi ni kwamba Makonda anapenda siasa za kishari.Atumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
mtu mwenye akili timamu huwezi kuweka content ya namna hii
Unaweza mfananisha Makonda na yule imakulata wenu?(Lema)Atumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
Naunga mkono hoja, huyo sio nzima, hivyo hata alichoweka, kinaweza kisiwe cha kweli!.mtu mwenye akili timamu huwezi kuweka content ya namna hii
Ogopa sana Mtu Mjinga akiwa na Confidence.... Jamaa ana Ujinga wa hali ya Juu sana....Binafsi sidhani kama anatumwa. Ni hana akili tu.
Mara eti watu wanajaribu kukupima kama wewe ni mama yangu kweli, aisee.
This time amerudi nilikua a little bit sympathetic kwake nikiamini watu wanamuonea na kumsema vibaya ila jana nikahitimisha kwamba this man is zero brain kweli.
Wewe Kiranga! 🤣 🤣 🤣Hujaona video Mama ana direct movie action wapi, mpaka pale kwenye "cut"View attachment 2961967
Wengine kusoma hawajui, picha hawataki, sasa tunaweka mpaka video.Wewe Kiranga! 🤣 🤣 🤣
Mkuu kitu ambacho hujui ni kwamba Samia ana ukaribu zaidi na Januari kuliko Makonda. Makonda anatumika kisiasa, Januari analindwa kisiasa!Basi hao watakuwa wana nguvu sana hadi kusigana na Rais aliyepo madarakani na hii ina prove kuwa mama naye ni zero brain. Inakuwaje Rais utishwe na wasaidizi wako? Yaani Nape na Makamba wanamtisha na kuwa na Bifu na Amiri jeshi Mkuu wa Nchi? Aibu hii.
Kimsingi toka Makonda aropoke hayo, binafsi nilijua anawalenga hao tu. Inasikitisha sana Rais kutishwa na kuwaogopa vijana ambao wananukia maziwa ya mama yao. Maziwa walionyonyeshwa na mama yao bado hajajaisha mdomo mwao.
Kaomba kwa "mama yake" siyo kwa Rais. Gambo aendelee na hoja zake Bungeni!Makonda kamba KM 20 za barabara kwa Rais kwajili ya Arusha Mjini, sasa kazi ya Gambo kule Bungeni ni ipi?
👏👍👌🆒🎁Naunga mkono hoja, dogo hajatumwa na akiendelea hivi, soon maji yatazidi unga!.
Dogo ana tatizo kubwa la inferiority complex hivyo ana practice superiority complex bila kujijua!. Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Mimi binafsi huyu dogo, namkubali sana, na nimejaribu kumsaidia mara nyingi tuu, tatizo lake kubwa, nililieleza kwenye uzi huu Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! nilisema
Hivyo kinachoendelea sasa ni mwendelezo wa kujikomba, ila sasa ni kujikomba kwa Maza!. Hajatumwa chochote na Maza, ni kujikomba tuu!, tena nawahakikishia hana jina hata moja la kutaja!.
P
Haya yote yanatokana na utoto na kujipendekza mawaziri wetu. Mawaziri wengi wamepata uwaziri kupitia njia za panya, yaani kubebwa na majina ya ndugu zao na siyo uwezo wao. Mawaziri kana Nnape au au Makamba (January) wamepata nafasi kwa majina ya baba zao. Mara nyingi wanafikiria wapo juu ya raisi na ndiyo maana walihusika kumtukana Magufuli na sasa wamehamia kwa Samia. Hao wawili mara nyingi wamejiona kuwa wao ndiyo CCM kwa sababu ya majina ya baba zao.Haya ya Makonda nayo yanawachukulia muda watu?
Chukulia tu hilo la kutoa muda hadi Jumatatu....!
Kuna kizuizi kipi cha kuwataja leo au kesho?
Haya ni mambo ya kitoto kweli kweli!
Haya basi, ni waziri gani, au mhusika yupi atajitokeza mbele afanye hayo anayo tishiwa na Bashite ili atajwe?
Nchi yetu imekuwa na mambo ya kitoto kweli kweli siku hizi. Kwa bahati mbaya siyo kwa Bashite pekee anayeonyesha utoto mwingi, hata bosi wake mambo ni yale yale ya kitoto kitoto hivyo hivyo.
Leo anasema wafanya biashara si waaminifu, anasahau yeye mwenyewe ndiye aliye wachochea wasiwe waaminifu na kulipa kodi stahiki.
Sasa kwanini huyo Makamba anatuma watu wamtukane Mama kama ana ukaribu naye?Mkuu kitu ambacho hujui ni kwamba Samia ana ukaribu zaidi na Januari kuliko Makonda. Makonda anatumika kisiasa, Januari analindwa kisiasa!
Kuhusu kumtukana mama ukweli upo. Makonda na Lema wanachofanya ni kuwajulisha wahusika kuwa wanajulikana na waache ama sivyo watajuta, maana kuna uwezekano majina yao yakakatwa na huo utakuwa mwisho wao.Kama unaifahan ccm vizur, kuna possibility kubwa hatowataja, ataishia kutishia tu
Mkuu kwanza hakuna ushahidi wowote kumhusisha Makamba kwenye ujumbe wa Mange wenye tusi kwa Samia.Sasa kwanini huyo Makamba anatuma watu wamtukane Mama kama ana ukaribu naye?