Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Sizani kama ametumwa ni vile anaishi ndani ya hulka yake ya kujiona bora zaidi na mwenye haki miliki ya nafasi zote mbele ya kusanyiko la watu, alichifanya si siasa ni kumdhalilisha Mh Raisi haswa Kwa uwepo wake hapo kama RC. Kufuatilia hili Jambo ni dhahiri kuna ombwe kubwa la wananchi hata hizo kauli za kutusiwa Mh Raisi hawajaziona na hata Kwa wachache waliziona wakapuuzia na kumpuuzia mtusi wake sasa kitendo cha mfia vyeo kuliongelea imekuwa gumzo la wengi wao kuona nini kipo ndani ya kauli chagua hizo na kutaka kujua ukweli wa yaliyo andikwa kwako.
Haina ya watu wanaomzunguka Raisi Samia wengi wao si wazuri kwake na hili linachangiwa na kutokuwa mzoefu Sana na siasa za bara hivyo anaingizwa kwenye shida kila mara ambazo hakukuwa na sababu ya kufikia huko abadani.
Nchimbi msaidie Raisi kunyoosha wapuuzu wote walio na nasaba za chama kwani aibu za namna hii hazikubaliki kamwe Kwa ustawi wa CCM.
 
Kama Gavana Makonda hakutumwa na Samia, basi atakuwa ni mmoja wa ass kissers bora kabisa kuwahi tokea nchi hii!

Halafu Samia wala hakemei hiyo excessive ass kissing tunayoiona.

Atakuwa anaifurahia.

Jana Makonda kamuita Samia kuwa ni ‘mama’ yake.
 
Wanasemaga eti wapumbafu ni muhimu kuwanao hata kwenye KIKAO cha ukoo kunasaa mnataka mtu wakuvuruga vuruga mambo hivi!! Mtu wakutisha-tisha hata waheshmiwa ili wasijione wanaogopwa!!
 
Wewe hujui ya Makonda na Samia?
 
.... lakini Makonda anaweza!

Mjadala Ufungwe, umemaliza kila kitu 🐼
 
Ngoja aje clone wake Lucas Mwashambwa atuelezee nini kinajiri kwenye ulimwengu wa Sa100
 
Inawezekana kweli kuna Mawaziri wanafanya hivyo.
Ila makonda kulisikia hivyo akaamua alisema ili abebe sifa kwa mama.
Jamaa anajua kujipendekeza.

Ila mimi naiona katika upande mwingine.

Inaonekana kuna kikundi cha watu wakiwemo baadhi ya mawaziri kinataka kumsabotage nguvu mama.
Kwa kugundua hivyo upande wa mama wameamua kukipaka kinyesi hicho kikundi.
 
Minong'ono inasema ametumwa na Lema baada ya kufika Arusha
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli, huenda jamaa alisema hayo Ili awe mjadala.....kwa viongozi aina hii tuna hali ngumu Sana.
 
Nimekumbuka maneno ya Sheikh Kundecha... Nadha SHH ndo anachotumia kwasasa ili kuondoa baadhi ya mijadala mdano katiba, Tume Huru, DP word nk nk... Sheikh Kundecha aliwahi kusema nadhan clip yake mwenye nayo anaweza i share umu kua kwenye mijadala km hiyo inafaa muwe na mpuuzi mmoja basi mtafanikiaa sana... Nimemaliza
 
Yupo sahihi
 
Kama unaifahan ccm vizur, kuna possibility kubwa hatowataja, ataishia kutishia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…