Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Mkuu Kalamu heshima sana. Hicho kitisho cha ''mpaka Jumatatu'' ni muujiza mwingine ambao hupatikana ndani ya CCM tu. Hakuna mantiki ndani ya hicho kitisho na muda aliotoa. Ila kwa taarifa ambazo hata mimi nimeshindwa kuzithibitisha ni kuwa kuna timbwili la ndani kwa ndani la siku nyingi kati ya Samia vs Kinana + Makamba Jr + Nape and co. Hili nililisikia siku nyingi lakini nikawa nimepuuza baada ya Makamba kupewa uwaziri wa Nje. Ila huyu mwehu Bashite ni mzuri sana kwenye kusoma migongano ndani ya CCM na kujitafutia ''ushujaa''. Inawezekana akawa hajajiropokea tu.
 
Basi hao watakuwa wana nguvu sana hadi kusigana na Rais aliyepo madarakani na hii ina prove kuwa mama naye ni zero brain. Inakuwaje Rais utishwe na wasaidizi wako? Yaani Nape na Makamba wanamtisha na kuwa na Bifu na Amiri jeshi Mkuu wa Nchi? Aibu hii.

Kimsingi toka Makonda aropoke hayo, binafsi nilijua anawalenga hao tu. Inasikitisha sana Rais kutishwa na kuwaogopa vijana ambao wananukia maziwa ya mama yao. Maziwa walionyonyeshwa na mama yao bado hajajaisha mdomo mwao.
 
Umama ni nyumbani siyo serikalini

Serikalini tunasurvive kwa kutumia akili na kulegeza mikono ya wale walio juu yetu
 
Ndugu, hili hata wakati ule wa Magufuli diktekta lilifanyika. Unakumbuka siri za ndani zilivyokuwa zinatoka hadharani? Hivi vinakuwakuga ni vita vya chini kwa chini na siyo dhahiri. Halafu usisahau Samia alivyoingia madarakani. Halafu anatoka Zanzibar. Pamoja na uamirijeshi wake mkuu, bado anahitaji sana timu Msoga na timu Magufuli kwenye uchaguzi.
 
Sijui kwa nini inanikumbusha mmiliki feki wa Tanzanite media.
 
jambo muhimu zaidi sio kutumwa au kutokutunwa, ile ya maana zaidi ni kuchapa kazi ya kuwatumikia waTanzania kwa bidii na weledi wa viwango tajika πŸ’

none crietive leaderz, lazy leaderz, corrupt leaderz, hypocrite leaderz, puppet leaderz among others, their days are numbered πŸ’
 

Huyo hajatumwa, kashazoea kuongea ongea tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…