Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Makonda kapewa Uenezi badala ya kupambana na upinzani yeye kanyoka Moja Kwa Moja kupambana na Ccm wenzie, na hichi ndio kimemla, sasa sijui kama ameona Ccm ndio tatizo au shida nini
 
Naunga mkono hoja, dogo hajatumwa na akiendelea hivi, soon maji yatazidi unga!.

Dogo ana tatizo kubwa la inferiority complex hivyo ana practice superiority complex bila kujijua!. Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Mimi binafsi huyu dogo, namkubali sana, na nimejaribu kumsaidia mara nyingi tuu, tatizo lake kubwa, nililieleza kwenye uzi huu Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! nilisema Hivyo kinachoendelea sasa ni mwendelezo wa kujikomba, ila sasa ni kujikomba kwa Maza!. Hajatumwa chochote na Maza, ni kujikomba tuu!, tena nawahakikishia hana jina hata moja la kutaja!.
P
 
Dogo ana ushujaa na ndio unaomtofautisha na wanasiasa wa rika lake.
 
Atumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
Kifupi ni kwamba Makonda anapenda siasa za kishari.
 
Atumwe au asitumwe bado Makonda hana akili timamu. Hajui aongee nini, wapi na mbele ya nani. Makonda ana ujasiri wa kujipendekeza (uchawa) na siasa za mifarakano.
Unaweza mfananisha Makonda na yule imakulata wenu?(Lema)
 
Ogopa sana Mtu Mjinga akiwa na Confidence.... Jamaa ana Ujinga wa hali ya Juu sana....
 
Uyu jamaa ni propaganda maker alitumiwa sana na Magu kufanya hivyo hana majina hana lolote

Wapinzani wajipange lengo ni kuwatoa katika reli na hizo zitakuwa nyingi sana
 
Mkuu kitu ambacho hujui ni kwamba Samia ana ukaribu zaidi na Januari kuliko Makonda. Makonda anatumika kisiasa, Januari analindwa kisiasa!
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ŒπŸ†’πŸŽ
 
Haya yote yanatokana na utoto na kujipendekza mawaziri wetu. Mawaziri wengi wamepata uwaziri kupitia njia za panya, yaani kubebwa na majina ya ndugu zao na siyo uwezo wao. Mawaziri kana Nnape au au Makamba (January) wamepata nafasi kwa majina ya baba zao. Mara nyingi wanafikiria wapo juu ya raisi na ndiyo maana walihusika kumtukana Magufuli na sasa wamehamia kwa Samia. Hao wawili mara nyingi wamejiona kuwa wao ndiyo CCM kwa sababu ya majina ya baba zao.
 
Mkuu kitu ambacho hujui ni kwamba Samia ana ukaribu zaidi na Januari kuliko Makonda. Makonda anatumika kisiasa, Januari analindwa kisiasa!
Sasa kwanini huyo Makamba anatuma watu wamtukane Mama kama ana ukaribu naye?
 
Kama unaifahan ccm vizur, kuna possibility kubwa hatowataja, ataishia kutishia tu
Kuhusu kumtukana mama ukweli upo. Makonda na Lema wanachofanya ni kuwajulisha wahusika kuwa wanajulikana na waache ama sivyo watajuta, maana kuna uwezekano majina yao yakakatwa na huo utakuwa mwisho wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…