Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

Ahsante sana mkuu 'macho' kwa haya uliyoweka hapa kwa usahihi kabisa.
Kwa maoni yangu, huu ndio ungekuwa mjadala kwenye mada hii; badala ya kupoteza muda na vitisho vya mtu anayepigania maslahi yake mwenyewe.

Kinachonisikitisha mimi ni kuona nchi yetu hii sasa ni viongozi wa aina hii ya Samia na Makonda ndio wanaotupotezea muda kujadili mambo yasiyokuwa na maana kwa nchi yetu
.Hawa ni 'opportunists' tu walio bahatika kufika kwenye nafasi za uongozi ambazo hawana uwezo nazo, na sasa hili linajidhihirisha kila siku mbele ya macho yetu.
 
Kwa yale maneno pale Arusha bado una shaka kwamba ni ass kisser! wala hakuanza leo, hii ya watu kuinuka na kuinama wakitajwa ni yeye alianzisha wakati wa JPM wakati ana kiss . Kuita JJPM majina manne alianzisha katika 'kissing'. Ni bingwa!

Rais SSH haeleleki, huyu bwana hakufaa hata ujumbe wa nyumba 10. Wakati wa JPM alikuwa na uwezo kuliko VP SSH. Kumrudisha katika uongozi licha ya makando kando na uchafu mwingi alioufanya siku za nyuma inafikirisha. Kibaya zaidi kila siku anaboronga Rais anamhamisha tu ! Kuna mengi yanafikirisha! na taswira yake inakuwa 'tainted'
 
CCM NI JANGA LA TAIFA
 
Hivi Makonda angesema kuwa kuna Mawaziri wanataka kukuwekea Mh Rais sumu kwenye chakula nako ingepigwa chini hadi sasa.
 
Samia hajui afanyalo.

She is just happy to be there!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…