Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Lisu alizembea nini?Acha aue wazembe na wezi, huwez kuuawa bila sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu alizembea nini?Acha aue wazembe na wezi, huwez kuuawa bila sababu
Hakuna utetezi wa dhuluma katika maisha. Kama niliishafanya dhuluma natakiwa kuhukumiwa.Kwani mwenzetu toka ulione jua, umwefanya dhuluma mara ngapi? Jitathmini ndugu. Hakuna mkamilifu chini ya jua.Muache kijana Paige kazi. Mengine ni stori tu.
Ukatili usio wa dhati. Ukatili unalenga kundi fulani. Katili mwenyewe anaingia mikataba ya hovyo, anajilimbikizia Mali. Ukatili wa hovyooo. Ukatili wa kweli ayaishi maisha yetu.Afrika tunahitaji viongozi makatili bila shaka kuna watu watumia ila hakuna namna
Kwenda zako huko!! unamchukia Makonda bila sababu, kwani unamwita muuaji, alimuua mama yako???Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.
Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Munvu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.
Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.
Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?
Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
Demokrasia imekupa nini toka Samia aiachie? Taja mradi mkubwa wa kimkakati uliokamilikamilika mpaka sasa? Taja mradi mkubwa alioanzisha Samia na unaendelea vizuri? Demokrasia kwa Afrika haitufai labda 2100 ndio tutaiwezaHivi Kwa nini tunapenda kusifia viongozi makatili, mauaji na madhulumaji. Mtu anawaambia kavamia kituo cha redio hapendi kabisa Uhuru wa vyombo vya habari. Mtu hataki watu waende mahakamani viongozi wawe mahakimu( totalitarian). Tuwakosoe hawa viongozi. Ubabe mwingi wakati kajilimbikizia Mali tu. Kama wanapenda Nchi hii waache demokrasia itembee, na wapige vita rushwa Kwa dhati.
Haya ni mawazo yako tunayapokea! Ila hana ubavu wa Magu huyu ni muigizaji na awali ni vyema akaondoa yale makandokando ya mauaji na utekaji sivyo usidhani ni kiongozi mzuri ana kariho tofauti udhaniavyo.Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.
Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.
Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Munvu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.
Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.
Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?
Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
Hivi Kwa nini tunapenda kusifia viongozi makatili, mauaji na madhulumaji. Mtu anawaambia kavamia kituo cha redio hapendi kabisa Uhuru wa vyombo vya habari. Mtu hataki watu waende mahakamani viongozi wawe mahakimu( totalitarian). Tuwakosoe hawa viongozi. Ubabe mwingi wakati kajilimbikizia Mali tu. Kama wanapenda Nchi hii waache demokrasia itembee, na wapige vita rushwa Kwa dhati.
Atawafuata wenzake kina Jiwe,Sokoine,Kafume and cosNisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.
Hivi kumbe kuropoka na kupayuka ni sifa ya uongozi![emoji848][emoji2827]Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.
Tundu lisu na ben saanane waliiba nini .afu wanao wakiwa mashoga unamuuliza mungu nilikosea wapi? Mpaka leo wazazi wa beni huwa wanachungulia dirishan kujiuliza kipenzi wetu atarudi lini.na makonda alishiriki .lisu leo hadi ndoa imevunjika na unaamini mungu ni mzembe hivo wa kuliacha lipite.marekan walimkataza asiende kwa kuwa walithibitisha mikono yake imejaa damu nyingi sana.ww tokea huko kasulu unasema alikuwa anaua wezi au hujui alikuwa akipewa mgao na wauza ungaAcha aue wazembe na wezi, huwez kuuawa bila sababu