Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

Tatizo la muaji hayajali hao wezi na wazembe, Bali ni wasiokubaliana na falsafa zao hao wauaji.
Kama vile mfalme alivyomwondosha Chacha Wangwe baada ya kutokubaliana naye na kutaka kugombea uenyekiti!
 
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.

Makonda ni Magufuli wa pili.
Takataka
 
Makonda ni kiongozi mbaya ila mfumo unamkubali.
 
Tundu lisu na ben saanane waliiba nini .afu wanao wakiwa mashoga unamuuliza mungu nilikosea wapi? Mpaka leo wazazi wa beni huwa wanachungulia dirishan kujiuliza kipenzi wetu atarudi lini.na makonda alishiriki .lisu leo hadi ndoa imevunjika na unaamini mungu ni mzembe hivo wa kuliacha lipite.marekan walimkataza asiende kwa kuwa walithibitisha mikono yake imejaa damu nyingi sana.ww tokea huko kasulu unasema alikuwa anaua wezi au hujui alikuwa akipewa mgao na wauza unga
Vp marekani kwako ni wasafi
 
Umemuona akizungumzia umeme au kupanda kwa sukari? Au hayo maigizo ya kuandaliwa akina mama na watoto wenye shida kama anavyofanya Mwamposa? Unafikiri wakuu wa mikoa na wilaya wangekuwa wanachaguliwa na wananchi hizo changamoto zisingeisha?
Yeye sio waziri
 
Tundu lisu na ben saanane waliiba nini .afu wanao wakiwa mashoga unamuuliza mungu nilikosea wapi? Mpaka leo wazazi wa beni huwa wanachungulia dirishan kujiuliza kipenzi wetu atarudi lini.na makonda alishiriki .lisu leo hadi ndoa imevunjika na unaamini mungu ni mzembe hivo wa kuliacha lipite.marekan walimkataza asiende kwa kuwa walithibitisha mikono yake imejaa damu nyingi sana.ww tokea huko kasulu unasema alikuwa anaua wezi au hujui alikuwa akipewa mgao na wauza unga
Kwani yeye ndio aliwapoteza na kuwapiga risasi?
 
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.

Makonda ni Magufuli wa pili.
USA wanamtafuta kama kipusa huyo katili
 
Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.
Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Munvu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.
Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.
Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?
Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
USA inamsaka hadi sasa wacha ajichanganye tu Angie Amerika
 
Ccm wameamua kufanya maigizo the whole country ,Kwa watu wenye akili zetu tunaelewa
 
Back
Top Bottom