Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Kama mamlaka zote hutoka kwa mungu huoni kua na yeye ni chaguo la mungu kwakua kateuliwa na mamlaka iliyotoka kwa mungu.Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.
Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Munvu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.
Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.
Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?
Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.
Acheni dhulma sio mjifiche kwenye udhaifu wa wengineKwani mwenzetu toka ulione jua, umwefanya dhuluma mara ngapi? Jitathmini ndugu. Hakuna mkamilifu chini ya jua.Muache kijana Paige kazi. Mengine ni stori tu.
Na tumeona alipoachwa alijificha. Hana uwezo binafsiHuyo siyo kiongozi ni mchumia tumbo anayebebwa. Akiachwa pekeyake hawezi kufanya mkutano wowote.
Makonda awe rais? Hizi ni ndoto. Askofu Gwaja alishamfungia kwenye madhabahu hata fika popote.Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.
Unampaka mafuta kwa mgongo wa Chupa hakuna siasa pale.Makonda ni mwanasiasa mzuri
Kabla hujamponda na kumsemea tafuta kujua maana ya siasa na wanasaiasa. Tafuta kujua historia za siasa na vile wanasiasa walifanyaga siasa yaani Mbwinu
Kama unataka kuelewa utaelewa😆
Hata Kama hutaki ndio Kazi inaendelea
Unampaka mafuta kwa mgongo wa Chupa hakuna siasa pale.
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi.
Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.
Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazima yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.
Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.
Makonda ni Magufuli wa pili.