Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

Kwani mwenzetu toka ulione jua, umwefanya dhuluma mara ngapi? Jitathmini ndugu. Hakuna mkamilifu chini ya jua.Muache kijana Paige kazi. Mengine ni stori tu.
Hakuna utetezi wa dhuluma katika maisha. Kama niliishafanya dhuluma natakiwa kuhukumiwa.
 
Kwenda zako huko!! unamchukia Makonda bila sababu, kwani unamwita muuaji, alimuua mama yako???
 
Demokrasia imekupa nini toka Samia aiachie? Taja mradi mkubwa wa kimkakati uliokamilikamilika mpaka sasa? Taja mradi mkubwa alioanzisha Samia na unaendelea vizuri? Demokrasia kwa Afrika haitufai labda 2100 ndio tutaiweza
 
Haya ni mawazo yako tunayapokea! Ila hana ubavu wa Magu huyu ni muigizaji na awali ni vyema akaondoa yale makandokando ya mauaji na utekaji sivyo usidhani ni kiongozi mzuri ana kariho tofauti udhaniavyo.
Haya anayoyafanya usidhani atayafanya akiwa juu!
Anatafuta umaarufu!
 


Una ushahidi wa hiyo damu aliyomwaga? Ilikua ya nani hiyo damu?


Kwamba hizi mamlaka zinazopitisha miswada ya kuwalipa mpaka wake wa wastaafu na kununua ndege mpya special kwa viongozi ndio zimetoka kwa Mungu? Please!
 


Demokrasia unaijua ndugu mtanzania?

Au ndio unaimba nyimbo ulizokaririshwa?!
 
Watu walihusuka kuengua majina ya wagombea wa upinzani mtawapeje kura Hali walirudisha nchi nyuma hadi Leo.
 
Watu walihusuka kuengua majina ya wagombea wa upinzani mtawapeje kura Hali walirudisha nchi nyuma hadi Leo.
Imerudi nyuma kwenye nini?
 
Atawafuata wenzake kina Jiwe,Sokoine,Kafume and cos
 
How comes MTU anajiita great thinker kabisa Kisha anakuja kuleta mada ya kuona Bashite anadeserve kuwa Prezoo wa hii Nchi.?MTU dull ambae hawezi hata kuendesha kata ikaenda unamtamani vipi awe kiongozi wako wa Nchi??very astonishing....
 
Umemuona akizungumzia umeme au kupanda kwa sukari? Au hayo maigizo ya kuandaliwa akina mama na watoto wenye shida kama anavyofanya Mwamposa? Unafikiri wakuu wa mikoa na wilaya wangekuwa wanachaguliwa na wananchi hizo changamoto zisingeisha?
 
Hivi kumbe kuropoka na kupayuka ni sifa ya uongozi![emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha aue wazembe na wezi, huwez kuuawa bila sababu
Tundu lisu na ben saanane waliiba nini .afu wanao wakiwa mashoga unamuuliza mungu nilikosea wapi? Mpaka leo wazazi wa beni huwa wanachungulia dirishan kujiuliza kipenzi wetu atarudi lini.na makonda alishiriki .lisu leo hadi ndoa imevunjika na unaamini mungu ni mzembe hivo wa kuliacha lipite.marekan walimkataza asiende kwa kuwa walithibitisha mikono yake imejaa damu nyingi sana.ww tokea huko kasulu unasema alikuwa anaua wezi au hujui alikuwa akipewa mgao na wauza unga
 
Atoke CCM aende wapi?
Akienda kule CCM watampoteza! Jiulize kilichomkuta hayati ENL baada ya kuhamia CDM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…