Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

Mahakama hizi hizi zinazopigiwa kelele na wananchi kila siku, au kuna nyingine?

Hizi mahakama zinawasikiliza nyie ccm, na tuhuma inapokuwa ya mpinzani wanahakikisha wanamfunga. Nashangaa una ushahidi wa Mbowe kuhusika hupeleki, Hadi mnaishia kumbambikia kesi ya ugaidi.
 
PCM anawakilisha mnyama SIMBA/NYEGERE huku akiwa amezungukwa na kundi kubwa la CHUI/NYOKA na FISI/MBWEHA.

Ni wazi mlishawahi kujionea pindi SIMBA akipata windo lake halafu wakafika eneo la tukio wanyama aina ya FISI na MBWEHA kitu hutokea kwa SIMBA. FISI ni ving'ang'anizi wakitaka kunyang'anya windo na MBWEHA hushambulia kila kona kichwani, mkiani, miguu, tumboni mpaka SIMBA akimbie na kuacha kitoweo
 
Kumbe una ushahidi wa Makonda kuhusika kwenye mauji alafu unakuja usemea huku mtandaoni, peleka ushahidi wako police ili uchunguzi uaanze mara moja!!
 
Kuna kiongoz wa nchi ambaye hajawahi kuua watu hapa nchini ?
 
Makonda ni mhalifu sugu sehemu anapostahili kuwa kwa sasa ni jela akisubiria kunyongwa hadi afe
 
How comes MTU anajiita great thinker kabisa Kisha anakuja kuleta mada ya kuona Bashite anadeserve kuwa Prezoo wa hii Nchi.?MTU dull ambae hawezi hata kuendesha kata ikaenda unamtamani vipi awe kiongozi wako wa Nchi??very astonishing....


Wewe mdengereko ndio leo unabana pua na kulonga Kama watu wa Nairobi?

Ni njaa??
 


[emoji1787] hii mpya!


Kwamba ndoa ya Lissu kuvunjika nayo chanzo ni Makonda?

Eti mikono yake imejaa damu nyingi!

Marekani ilithibitisha lini kwamba Makonda ameua watu wengi? Unayo report hapo uiweke hapa tuisome?


Mbali ya Unafiki, tatizo jingine linalowakabili ndugu watanzania ni Uwongo na Usahaulifu.
 
How comes MTU anajiita great thinker kabisa Kisha anakuja kuleta mada ya kuona Bashite anadeserve kuwa Prezoo wa hii Nchi.?MTU dull ambae hawezi hata kuendesha kata ikaenda unamtamani vipi awe kiongozi wako wa Nchi??very astonishing....
Makonda anastahili kuwa jela sasa hivi kusubiri kunyongwa hadi afe
 
Hizi mahakama zinawasikiliza nyie ccm, na tuhuma inapokuwa ya mpinzani wanahakikisha wanamfunga. Nashangaa una ushahidi wa Mbowe kuhusika hupeleki, Hadi mnaishia kumbambikia kesi ya ugaidi.
Kati ya wananchi wanaolalamika kwa Makonda unadhani wanaccm hawamo?
 
Usiwe mpumbavu ndugu yangu,hakuna kosa ku ua,na hakuna dhambi ku ua,kama una ua kwa sababu za msingi,hivi jambazi mwenye bunduki ukimu ua utahebiwa dhambi?, kwa nn daudi alimuua goliati? Na mpk leo daud ana hesabiwa ushujaa?!.
 
Weka CV ya Bashite hapa kwanza tumsome!
CV ya nini, nchi hii CV zimetufikisha umeme Hakuna na Sukari 6000/=. Tunataka matokeo ya haraka hata kama yataletwa na darasa la Saba
 
Wa kupigana na rushwa wapo wapi, unajua kwa nini wimbo wa bandari umekufa ghafla kwa wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…