Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

Huyo siyo kiongozi ni mchumia tumbo anayebebwa. Akiachwa pekeyake hawezi kufanya mkutano wowote.
 
Sasa Kama mamlaka zote hutoka kwa mungu huoni kua na yeye ni chaguo la mungu kwakua kateuliwa na mamlaka iliyotoka kwa mungu.
 
Kwani mwenzetu toka ulione jua, umwefanya dhuluma mara ngapi? Jitathmini ndugu. Hakuna mkamilifu chini ya jua.Muache kijana Paige kazi. Mengine ni stori tu.
Acheni dhulma sio mjifiche kwenye udhaifu wa wengine
 
Makonda awe rais? Hizi ni ndoto. Askofu Gwaja alishamfungia kwenye madhabahu hata fika popote.
 
Makonda ni mwanasiasa mzuri

Kabla hujamponda na kumsemea tafuta kujua maana ya siasa na wanasaiasa. Tafuta kujua historia za siasa na vile wanasiasa walifanyaga siasa yaani Mbwinu

Kama unataka kuelewa utaelewa😆

Hata Kama hutaki ndio Kazi inaendelea
 
Unampaka mafuta kwa mgongo wa Chupa hakuna siasa pale.
 
Unampaka mafuta kwa mgongo wa Chupa hakuna siasa pale.

Una haki ya kusema unachokijua na Mimi Nina haki ya kusema ninachokijua.

Mimi nasema na nimesema nilichokisema. Karudie kusoma
 

Kwa wajinga jinga kila mtu anayependa masifa wanaona kiongozi mzuri. Unatakiwa kujua kuropoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…