Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!

Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?

Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.

L
 
Waliomumtuma wamebug safari hii, walidhani huyo muhalifu atawaburuza wapinzani kwenye siasa za kiki. Huyo Makonda alikuwa ni mmoja ya wanaccm walioshiriki kwenye siasa chafu za Magufuli, na ndio sababu ya kuzipotezea mvuto siasa za ushindani hapa nchini. Sasa hivi anataka wapinzani wajitokeze kuvutana naye Ili ajustify kurudishwa kwenye ulaji. Hakuna mpinzani kupoteza muda wake kushindana na huyo muhalifu, huyo anastahili kuwa jela, na sio kwenye siasa.
 
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!

Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?

Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.

L
Kwani walipanga pamoja kwamba nao watazunguka kama yeye? Kama amechoka si apumzike tu?
 
Back
Top Bottom