Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Nani anataka kumgusa Makonda na Ili iweje??
Bavichaa wanataka kumgusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anataka kumgusa Makonda na Ili iweje??
Januari mashine #9 inawashwa kwenye bwala letu aliloanzisha ujenzi yule jamaa usiyempenda; kwa hiyo umeme wa uhakika uko karibu.Tupate umeme kwanza kabla ya hizo mbwembwe nyingine.
MBONA WAKATI WA DIKTETA MLIPIGA MARUFUKU MIKUTANO MKAWA MNAFANYA PEKEE YENU KWANINI HUKUSEMA UMECHOKA?Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L
Achana na historia, Sasa mikutano imeruhusiwa we ingia uwanjani ujirushe tu bwashee. Historia isiwe kisingizio cha kuchicken sasa hivi.MBONA WAKATI WA DIKTETA MLIPIGA MARUFUKU MIKUTANO MKAWA MNAFANYA PEKEE YENU KWANINI HUKUSEMA UMECHOKA?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Watu wengine sijui mkoje!!Januari mashine #9 inawashwa kwenye bwala letu aliloanzisha ujenzi yule jamaa usiyempenda; kwa hiyo umeme wa uhakika uko karibu.
Rip mwamba JPM!
Ina maana wewe hujui kabisa kwamba safari moja huanzisha nyingine? Acha kujitoa ufahamu, you're better than that!Watu wengine sijui mkoje!!
Vinu vya kuzalishia umeme (turbine) vipo tisa, kinawashwa kimoja wewe unaanza kupiga mayowe ya kushangilia.
Umewaza sawa sawa kweli???
Amuonyeshe nani sasa kama Mwenye nchi ameshampa rungu?! 😀Aonyeshe kwanza vyeti vyake huyo zero brain..
Hayo mambo ya wanywa pombe kusema safari moja huanzisha nyingine hapa yanahusikaje???Ina maana wewe hujui kabisa kwamba safari moja huanzisha nyingine? Acha kujitoa ufahamu, you're better than that!
Kama huwezi kuelewa ni kwa nini nazungumzia safari moja kuanzisha nyingine, na unadhani nzungumzia pombe, basi tuna kazi kweli kweli!Hayo mambo ya wanywa pombe kusema safari moja huanzisha nyingine hapa yanahusikaje???
Maelezo yametolewa ni kwa nini wanawasha kinu kimoja badala ya vyote tisa!??