Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

Yeye alifikiria akina Mjema na Shaka walipenda kuwa flop?. Kwa Sasa siasa Tanzania ni ngumu hasa kwa CCM maana Hali ni ngumu watu hawataki kiki za kijinga.
 
Naona wananchi wengi wakielekea kuachana na chaguzi za kuanzia 2024 mpaka 2025. Ni wanaccm na familia zao + watumishi wa umma tena kwa kushuritishwa ndio watakaoonekana kwenye vituo vya kupiga kula. Time will tell
 
Upinzani wamempa Makonda option mbili:

1. Afanye mikutano yake na kiki zake azoeleke awe wa wakawaida.

2. Akae kimya asahaulike kabisa awe flop Kama Mjema.

Achague moja kati ya hayo. Ndio maana analia ameachwa pekee yake.
 
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!

Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?

Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.

L
Tuambie kwanza Ben Saanane ulimpeleka wapi? na kuna tuhuma uliongoza genge la kummiminia risasi Lissu - Jibu tuhuma hizo ili uwe huru.
 
Huyo mhalifu anayejiita Makonda, jela ndipo mahali anapostahili kuwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila kweli hawa jamaa!
.
Lisu karudi
Lema karudi

Lakini wako kimya kama maji kwenye mtungi.

Ccm wajanja sana! Wamewapa uhuru wa kufanya yote waliyosema wananyimwa kufanya alafu wao wenyewe wameufyata
 
Hivi Tume ya uchaguzi NEC wameshatangaza tarehe ya kampeni?. Maana unadai hawana mgombea. Be serious kidogo. Nyie mmevunja sheria kwa kuanza kampeni mapema na mnataka wengine waige huo ujinga.
Hivi aliyepotea ni nani?. CCM au upinzani? Makonda angekijitika kwenye mafanikio ya CCM na changamoto zake. Maana hawezi kujitenga na failures za serikali.

Atoe maelezo ya mfumuko wa Bei, mishahara kwa mafungu, Deni la nje, serikali kuto kulipa madeni ya ndani, kupanda kwa nauli etc. Akianza kutafuta kushindana na upinzani hataweza kabisa ataangukia pua.
Upinzani chali Cha Mende ,mkigeuka nyuma Kuna Chipukizi mkiangalia Mbele kuna Makonda 🔥🔥

Wakati mnazunguka mikoani na kuwaambia wafuasi wenu kwamba 2025 mtashika Dola Tume ilikuwa imetangaza tarehe ya kampeni? Dalili z kuchanganyikiwa 😂😂
 
Kashajichokea......mikutano mitano tu chaliii......aliingia Mjini kwa Pupa
Nyie chadomo ndio mumechoka au Makonda? Subiria kampeni back to back Mikoa 6 kuwaka moto.

Watoa taarifa zitoeni mapema Ili Makonda aje kuzifanyia kazi
 
Stukeni nyie, zama za siasa za kishamba zimeshapita. Wananchi tunawaona wapuuzi tu. Waulize wale waliokuwa na daftari la wapiga kura la majaribio walipoenda kama walipata mtu wa kuja kupoteza muda wake. Na kama huamini ngoja uone kwenye chaguzi zijazo, watajitokeza wanaccm wachache tu, ambao nao wataona ni kupoteza muda kushiriki zoezi lisilo na mvuto. Hapo ndio mtajua kizazi kimeshabadilika. Machafuko au mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko dhidi ya hilo chama lenu la majizi.
Wana Imani na ccm Sasa ulitaka waje kwa Machadema wasio na ajenda Ili iwaje?

Ccm Ina Wanachama zaidi ya mil.15 hao sio Wananchi? 😁😁
 
Nyie chadomo ndio mumechoka au Makonda? Subiria kampeni back to back Mikoa 6 kuwaka moto.

Watoa taarifa zitoeni mapema Ili Makonda aje kuzifanyia kazi
Makonda kaja juzi tu sisi tumepiga Anga kwa miezi kadhaa mfululizo yeye wili.tu chalii.

Alikurupuka huyo wamempiga stop.

Anatafuta pa kutokea.
 
Back
Top Bottom