UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Erythrocyte, timu pinzani mnatafutwa muingie uwanjani huko, mko wapi? Au nyie kazi yenu ni kukoromea kwenye mitandao tu ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe KANOGEWA NA BUYU LA ASALI
Anajilimbwasa na kujisonsomola.
Wajitokeze washindanishe hoja bwana ili wananchi tupate nafasi ya kuzichambua na kufanya maamuzi sahihi. Ana hoja, asikilizwe.😅 wamegoma kukupa kiki.
Ili uendelee kuwa relevant jenga hoja, tatua kero, eneza sera za chama.
Wajitokeze washindanishe hoja bwana ili wananchi tupate nafasi ya kuzichambua na kufanya maamuzi sahihi. Ana hoja, asikilizwe.
Utendaji ni relative, unafuata kanuni za relativity, wakati mmoja anaona utendaji mbovu, mwingine anaona utendaji uliotukuka wenye 4R!. Ni kama tuu ganda la mua la jana...utendaji mbovu wa Raisi Samia, serikali, na CCM kwa ujumla.
Pumzi imekata jogoo la shamba haliwiki Mjini.Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L
Hahaa
Jamaa amepwaya......alikuja kwa Pupa ameondoka kwa Fedheha😅 wamegoma kukupa kiki.
Ili uendelee kuwa relevant jenga hoja, tatua kero, eneza sera za chama.
Hana Content ya kutoa kwa wananchi.Kwani hii nchi inaongozwa na hao "watoa taarifa"?
Kila Mahali Hali si shwari ila yeye anahangaika na watu wengine badala ya kuonesha uongozi.
Makonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana 😂😂Waliomumtuma wamebug safari hii, walidhani huyo muhalifu atawaburuza wapinzani kwenye siasa za kiki. Huyo Makonda alikuwa ni mmoja ya wanaccm walioshiriki kwenye siasa chafu za Magufuli, na ndio sababu ya kuzipotezea mvuto siasa za ushindani hapa nchini. Sasa hivi anataka wapinzani wajitokeze kuvutana naye Ili ajustify kurudishwa kwenye ulaji. Hakuna mpinzani kupoteza muda wake kushindana na huyo muhalifu, huyo anastahili kuwa jela, na sio kwenye siasa.
Kushindana kwa hoja ccm walishashindwa, halafu Cha ajabu aliyekuwa anaendesha kikosi Cha kuteka na mauaji kipindi Cha dhalimu magu dhidi ya wapinzani ndio anataka Leo wajitokeze kushindana naye!Wajitokeze washindanishe hoja bwana ili wananchi tupate nafasi ya kuzichambua na kufanya maamuzi sahihi. Ana hoja, asikilizwe.
Usichanganye kupoteana na kupuuza siasa za kishenzi. Wanachofanya ccm Sasa hivi ni kama wako disco la watu wa jinsia moja, hata zipigwe Ngoma Kali vipi, halinogi maana hakuna wa kumkumbatia. Kizazi kimechoka hilo chama la mazee.Makonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana 😂😂
Weka taarifa mezani
Watoa taarifa mumepoteanaUsichanganye kupoteana na kupuuza siasa za kishenzi. Wanachofanya ccm Sasa hivi ni kama wako disco la watu wa jinsia moja, hata zipigwe Ngoma Kali vipi, halinogi maana hakuna wa kumkumbatia. Kizazi kimechoka hilo chama la mazee.
Stukeni nyie, zama za siasa za kishamba zimeshapita. Wananchi tunawaona wapuuzi tu. Waulize wale waliokuwa na daftari la wapiga kura la majaribio walipoenda kama walipata mtu wa kuja kupoteza muda wake. Na kama huamini ngoja uone kwenye chaguzi zijazo, watajitokeza wanaccm wachache tu, ambao nao wataona ni kupoteza muda kushiriki zoezi lisilo na mvuto. Hapo ndio mtajua kizazi kimeshabadilika. Machafuko au mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko dhidi ya hilo chama lenu la majizi.Watoa taarifa mumepoteana
Hamna mgombea
Hamna Sera
Hamna lugha Moja
Dj kawapiga Cha Juu kwenye mgao wa asali 😁😁😁😁
Kashajichokea......mikutano mitano tu chaliii......aliingia Mjini kwa PupaMakonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana 😂😂
Weka taarifa mezani