Mkuu hiki ni kinyamwezi au 😄 🤣 😂Mbowe KANOGEWA NA BUYU LA ASALI
Anajilimbwasa na kujisonsomola.
Bwawa la asali???Huenda wamesusa kuona boss akiogelea kwenye bwawa la asali mwenyewe
Lissu ndiyo mtoa taarifa??Lissu yupo yupo bila jambo la maana, hajui aanzie na aishie wapi
Mkutano wake wa Leo umedoda Sana. Mpaka mwakani Makonda atakuwa wa kawaida sana.
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza
Watu wameshachoka na kudanganywa danganywa kila siku !!Mkutano wake wa Leo umedoda Sana. Mpaka mwakani Makonda atakuwa wa kawaida sana.
Kwani walipanga pamoja kwamba nao watazunguka kama yeye? Kama amechoka si apumzike tu?Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L