Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

chadema wametawanyika walah..

jamaa sijui wamepatwa na nini
 
Tupate umeme kwanza kabla ya hizo mbwembwe nyingine.
Januari mashine #9 inawashwa kwenye bwala letu aliloanzisha ujenzi yule jamaa usiyempenda; kwa hiyo umeme wa uhakika uko karibu.
Rip mwamba JPM!
 
MBONA WAKATI WA DIKTETA MLIPIGA MARUFUKU MIKUTANO MKAWA MNAFANYA PEKEE YENU KWANINI HUKUSEMA UMECHOKA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Januari mashine #9 inawashwa kwenye bwala letu aliloanzisha ujenzi yule jamaa usiyempenda; kwa hiyo umeme wa uhakika uko karibu.
Rip mwamba JPM!
Watu wengine sijui mkoje!!

Vinu vya kuzalishia umeme (turbine) vipo tisa, kinawashwa kimoja wewe unaanza kupiga mayowe ya kushangilia.

Umewaza sawa sawa kweli???
 
Watu wengine sijui mkoje!!

Vinu vya kuzalishia umeme (turbine) vipo tisa, kinawashwa kimoja wewe unaanza kupiga mayowe ya kushangilia.

Umewaza sawa sawa kweli???
Ina maana wewe hujui kabisa kwamba safari moja huanzisha nyingine? Acha kujitoa ufahamu, you're better than that!
 
Ina maana wewe hujui kabisa kwamba safari moja huanzisha nyingine? Acha kujitoa ufahamu, you're better than that!
Hayo mambo ya wanywa pombe kusema safari moja huanzisha nyingine hapa yanahusikaje???

Maelezo yametolewa ni kwa nini wanawasha kinu kimoja badala ya vyote tisa!??
 
Hayo mambo ya wanywa pombe kusema safari moja huanzisha nyingine hapa yanahusikaje???

Maelezo yametolewa ni kwa nini wanawasha kinu kimoja badala ya vyote tisa!??
Kama huwezi kuelewa ni kwa nini nazungumzia safari moja kuanzisha nyingine, na unadhani nzungumzia pombe, basi tuna kazi kweli kweli!
Ina maana hujasikia maelezo yaliyotolewa ni kwa nini wanawasha moja kwanza? Bwashee unajiangusha mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…