Makonda: Ninawajua wanaowalipa vijana kuwatukana viongozi mitandaoni, wakiendelea nitawataja

Kishindo cha Daudi...
 
Cheo alichopewa ni mzigo mzito, huyu binadamu hawezi propaganda bali utumiaji wa nguvu pasi akili.
 
amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM,
Kwanini wasiambiwe katika vikao vya ndani vya chama?
 
hapo alipomtaja sita najua kutakuwa na maneno mengi. kumbe sita alimlea?
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm ndugu Paul Makonda amewaonya wanaolipa watu watukane matusi mitandaoni kuwa anawajua na atawataja kwa majina yao kwani haogopi kitu.
Makonda amebainisha kuwa kama aliweza kuwataja wauza madawa ya kulevya wakubwa akina Mbowe ,Gwajima na wengineo hatasita kama wakiendelea na tabia yao hiyo chafu, hivyo amewataka waache mara moja.



View: https://youtu.be/aJxmfFfSuG4?si=kD9aKyhW2VQqRnyJ
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm ndugu Paul Makonda amewaonya wanaolipa watu watukane matusi mitandaoni kuwa anawajua na atawataja kwa majina yao kwani haogopi kitu.

Bado hajakua huyu...hasara kwa aliyemwamini na kumrudisha
 
Tulidhani Bashite kwisheni kumbe alikuwa natungiwa sheria ili aje nazo kijiweni. BASHITE KARIBU TENA JF.
 
Sawasawa..... Mi ninachojua unapopewa second chance unatakiwa uitumie vizuri na kwa makini
Rejea, Mashitaka yaliyoletwa(shutuma) dhidi ya Nguli wa Filosofia Socrates.

Utaona kuna baadhi ya mambo yanayofanana kati ya Meletus na Makonda.

Meletus alikuwa ndio mwendesha mashitaka wa Athene, ndie aliye mshitaki Sokreti.

Makonda ndie Mwendesha mashitaka wa CCM, if I may, in this Context.

Wote ni Vijana na wote walikuwa wakilinda masilahi ya vigogo.

Fuatilia link hii
Socrates alivyopatiwa Second Chance tunajua alichagua nini. CCM itachagua inayochagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…