Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini bi Faiza? Unafikiri kila mtu anaumia basi? You are wrong shangazi.Nyie vijanawa humu mnaotumwa kuandika kijinga, msifikiri kina max wana mbupu za chuma.
Kishindo cha Daudi...Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo
View attachment 2800205
2007? Mzee wangu heshima yako!Angalia Komenti zao hapa. Wanahaha sasa wata tajwa.
Pipoz muwe makini. Fyekeo hilo[emoji28]
[emoji2957]
Awataje tu.
Kwanini wasiambiwe katika vikao vya ndani vya chama?amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM,
hapo alipomtaja sita najua kutakuwa na maneno mengi. kumbe sita alimlea?Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo
View attachment 2800205
Tumemtaja yeye Kwanza kama muuaji wa Ben Saanane.Kama unatukana ama unatuma watu watukane utatajwa tu
Kwa akili gani aliyonayo Hadi aongee point?Makonda sijawahi kumwonana akiongea pointi hata siku moja!
Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm ndugu Paul Makonda amewaonya wanaolipa watu watukane matusi mitandaoni kuwa anawajua na atawataja kwa majina yao kwani haogopi kitu.
Unasemaje kimwana.... mtoto uliyeumbika.Huyu ni Chizi Maarifa
Rejea, Mashitaka yaliyoletwa(shutuma) dhidi ya Nguli wa Filosofia Socrates.Sawasawa..... Mi ninachojua unapopewa second chance unatakiwa uitumie vizuri na kwa makini