Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

Documents halali zitaamua nani mmiliki halali wa hicho kiwanja na mjengo.

Mpaka sasa GSM kaweka hadharani uhalali wa umiliki wa kiwanja na mjengo.Makonda aka Bashite atumwagie documents zake na si vinginevyo.

Tukimaliza hapo tu nakwenda kuangalia kama hicho kiwanja na mjengo viliorodheswa katika hati ya Tume ya maadili ya viongozi wa umma.

Tukimaliza hapo tutamhoji iwapo ana kipato halali cha kuweza kununua kiwanja husika na kufanya majenzi.

Tukimaliza hapo tunakwenda kumuhuliza wakati wa tukio la Lissu kupigwa risasi alikuwa wapi ?

Tukimaliza hapo tutataka kujua majina yake halali na cheti chake cha kumaliza std 7 & form 4.Tutaomba arejeshe mishahara yake yote tangu akiwa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa.

Mpaka hapo itabidi arejee koromije.

Ni hayo tu kwa leo.

Ngongo kwasasa Mikocheni.
 

Pale huwezi kuhimili ukweli kwamba haupo tena kwenye system halafu usikie watu wanataka wakutie umaskini!
 
Ana kweli Dunia hii kila kitu ni mapito. Makonda huyu huyu wa jeuri ile leo kafukia hatua ya kulalama hivi?
Mwache ale jeuri yake
 
Vipi lile Container lililokuwa na Furniture alilodai ni la msaada!? Liliishia wapi??
Nchi hii ulaghai mtupu!
 
Hakulipata kihalali? Haki ya mtu haipotei, mwenye haki atashinda!
 
Iviiiii kwa muda alio kaaa madarakan na mshaaahara alikuwa akilipwa yanaaakisi maliiii anazomilikiiiii???????
 
Mzee nyboma Sasa makonda alipataje kiwanja kwa mshahara upi

Hi wizar ya ardh toka aingie yule kijn pendwa nilipata waswas Sana
Shangaa na wewe kwa mshahara wa sh.ngapi mtumishi wa serikali kiwanja cha mabilion
 
Sawa msukuma mwenzake....pambaneni kiboya hadi tone la mwisho
 
Msimpe moyo wowote. Mtu Hana document ya umiliki utasemaje Mali yake..hata aende mahakamani au popote ataonekana tapeli na mvamizi...kesi za hivi Hakuna anayechomoka..GSM sio msafi na uchafu wake toka home shopping hakuna ntu asiyeujua..kusema utafunua madudu yake Ni kutumia hoja dhaifu Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
anatakiwa kupambana aende kubadilisha umiliki ili awe na hati. ila ni vigumu sana kama mwenzako ana hati, wewe huna na bado unaamini utashinda, na hapajawahi kuwa na double allocation.
 
Bila docs. Ni ile amri kuwa "GSM nataka mnijengee ghorofa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…