Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

Ndio nyie masikini mkiachiwa mlinde jengo baada ya miaka mnajimilikisha na kung’ang’ania kama mali ya baba zenu

Ukiwa masikini ni masikini na hela ili uwe nazo ni lazima uzipende ili zikupende

Haya tuone kama atamiliki kwa nguvu sasa
 
La Makonda na GSM ni mwanzo wa ngoma tusubiri dansi lenyewe kwenye suala la ardhi nchini

Nawashauri tu wenye kumiliki maeneo hakikisheni mna nyaraka muhimu juu ya umiliki wenu

Otherwise kuna kilio kikubwa sana hapo baadaye
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
Hahaaa!!kwenye sheria wala hakuna haja ya kutumia nguvu, ingekuwa hivyo hakuna MKULYA au MJARUO, ambaye angekuwa magereza!!
Naamini kwenye sakata hili hao GSM, kuna sehemu wanajua kabisa kuna kosa la kiufundi lilifanyika hivyo ni rahisi kulitumia hilo, na kurudisha mali yao.
 
Tofautisha kufanikiwa na wizi/unyang'anyi wa Mali za watu na za serikali... Mbona hatuna wivu na Baresa au Mo??
Na huo ndio upimbi halisi, waafrica wanafurahia mafanikio ya mzungu, mwarabu, muhindi lakini sio mweusi mwenzake, akiona mwenzake amefanikia anatamani kufa kwa wivu, akishindwa uchawi basi angalau matusi kwenye mitandao

Aliekwambia Mo anautajiri wa halali nani? Mo huyu jizi tapeli la mazao?
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
Hahaha[emoji23]
 
Mbona mna kigugumizi kuweka PICHA ya hilo ghorofa?
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri

Anapambana na nini?

  • Hati inasemaje?
  • Hapa ndo itazihirika yeye mwizi.
  • Kalitoa wapi hilo gorofa.
 
Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.

Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.

Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.

Kila la kheri
Alisema asikitikiwe akimuacha Yesu, sasa sijui ni Yesu yupi
 
Back
Top Bottom