Mipango hii yote inategemea wanadamu kuifanya.
..najua umemaanisha kwamba Ssh anaweza kufa.
..Ccm hawataki Katiba mpya wala Tume Huru na haijalishi Mwenyekiti ni Ssh, Philip Mpango, Hussein Mwinyi, Kassim Majaliwa, etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango hii yote inategemea wanadamu kuifanya.
6. Kumpa mtu mwingine amshikie remote control huku yeye akiwa anatazama tamthiliyaKwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa ni kosa la kikatiba pia lilikuwa ni kosa la kisiasa. Ule ulikuwa ni udhaifu mkubwa wa Samia kisiasa. Wanasiasa wale wale, leo ndio wanatumika kumzunguka na kunyemelea kiti chake.
2. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
3. Kuanza mapema wazi wazi harakati za urais 2025 kwa mwamvuli wa kijinsia. Siasa za kuukumbatia uanamke ni sumu inayochukiwa vibaya sana na jamii yenye mtizamo wa mfumo dume na wanawake wanaoamini mwanamke hafai kuwaongoza au kuwatawala. Bila kujua, ghafla wanaume na wanawake wengi wanamchukia rais Samia kwa mtizamo huo.
4. Kuwarudisha haraka serikalini na ndani ya CCM watu waliofukuzwa (kwa haki au chuki) na Magufuli au wanasiasa waandamizi waliokuwepo katika serikali au CCM kipindi cha Kikwete. Watu kama Kinana, January Makamba, Nape etc. Watu wengi wenye mtizamo chanya kuhusu Magufuli wanamuoa Samia kama mtu aliyekuja kuzika yote mema ya Magufuli ili kuyafufua yote mabaya ya Kikwete.
5. Kuwapooza au kuwakumbatia baadhi ya watu wasioweza kufaa kabisa katika utawala wake. Kundi kama la Covid 19, Sukuma gang (Bashiru, Pole Pole) lilipaswa liwe ni hadithi iliyosahaulika ndani ya wiki mbili tu toka Samia aingie madarakani. Uwepo wa hao watu bungeni, serikalini au ndani ya CCM ni kujiharibia kisiasa.
Bado Rais Samia hajachelewa sana, anaweza kurekebisha baadhi ya mambo sasa na baadhi ya mambo kwenda sawia kwa sehemu.
Naunga mkono hoja.Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa ni kosa la kikatiba pia lilikuwa ni kosa la kisiasa. Ule ulikuwa ni udhaifu mkubwa wa Samia kisiasa. Wanasiasa wale wale, leo ndio wanatumika kumzunguka na kunyemelea kiti chake.
2. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
3. Kuanza mapema wazi wazi harakati za urais 2025 kwa mwamvuli wa kijinsia. Siasa za kuukumbatia uanamke ni sumu inayochukiwa vibaya sana na jamii yenye mtizamo wa mfumo dume na wanawake wanaoamini mwanamke hafai kuwaongoza au kuwatawala. Bila kujua, ghafla wanaume na wanawake wengi wanamchukia rais Samia kwa mtizamo huo.
4. Kuwarudisha haraka serikalini na ndani ya CCM watu waliofukuzwa (kwa haki au chuki) na Magufuli au wanasiasa waandamizi waliokuwepo katika serikali au CCM kipindi cha Kikwete. Watu kama Kinana, January Makamba, Nape etc. Watu wengi wenye mtizamo chanya kuhusu Magufuli wanamuoa Samia kama mtu aliyekuja kuzika yote mema ya Magufuli ili kuyafufua yote mabaya ya Kikwete.
5. Kuwapooza au kuwakumbatia baadhi ya watu wasioweza kufaa kabisa katika utawala wake. Kundi kama la Covid 19, Sukuma gang (Bashiru, Pole Pole) lilipaswa liwe ni hadithi iliyosahaulika ndani ya wiki mbili tu toka Samia aingie madarakani. Uwepo wa hao watu bungeni, serikalini au ndani ya CCM ni kujiharibia kisiasa.
Bado Rais Samia hajachelewa sana, anaweza kurekebisha baadhi ya mambo sasa na baadhi ya mambo kwenda sawia kwa sehemu.
Huyu mama yenu alipokwamia ni kuwarudisha kazini kinana na makamba sana sana kinana ni mafia saana yule mzeeKwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa ni kosa la kikatiba pia lilikuwa ni kosa la kisiasa. Ule ulikuwa ni udhaifu mkubwa wa Samia kisiasa. Wanasiasa wale wale, leo ndio wanatumika kumzunguka na kunyemelea kiti chake.
2. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
3. Kuanza mapema wazi wazi harakati za urais 2025 kwa mwamvuli wa kijinsia. Siasa za kuukumbatia uanamke ni sumu inayochukiwa vibaya sana na jamii yenye mtizamo wa mfumo dume na wanawake wanaoamini mwanamke hafai kuwaongoza au kuwatawala. Bila kujua, ghafla wanaume na wanawake wengi wanamchukia rais Samia kwa mtizamo huo.
4. Kuwarudisha haraka serikalini na ndani ya CCM watu waliofukuzwa (kwa haki au chuki) na Magufuli au wanasiasa waandamizi waliokuwepo katika serikali au CCM kipindi cha Kikwete. Watu kama Kinana, January Makamba, Nape etc. Watu wengi wenye mtizamo chanya kuhusu Magufuli wanamuoa Samia kama mtu aliyekuja kuzika yote mema ya Magufuli ili kuyafufua yote mabaya ya Kikwete.
5. Kuwapooza au kuwakumbatia baadhi ya watu wasioweza kufaa kabisa katika utawala wake. Kundi kama la Covid 19, Sukuma gang (Bashiru, Pole Pole) lilipaswa liwe ni hadithi iliyosahaulika ndani ya wiki mbili tu toka Samia aingie madarakani. Uwepo wa hao watu bungeni, serikalini au ndani ya CCM ni kujiharibia kisiasa.
Bado Rais Samia hajachelewa sana, anaweza kurekebisha baadhi ya mambo sasa na baadhi ya mambo kwenda sawia kwa sehemu.
Ni kweli maana uhai wa ccm Uko mikononi mwa polisiCcm ndio inashinda, sio mtu na kwa taarifa hakuna wa kushindana na ccm
Lukuvi alikuwa na nguvu gani? Acha vichekeshoSikia mkuu!...
Ni kwamba Samia hana uwezo wowote kiuongozi, hii inayotawala sasa hivi ni ccm ya kikwete.
Hao mawaziri wa Magufuli unaosema Samia amewarithi hakuna hata mmoja wa kumtingisha maana wenye nguvu wote kama kina Lukuvi aliwatoa akabaki na watu dhaifu tu kama kina Doroth Gwjima na kia Bashungwa.
Kesi hii ilianza July 2020.. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
Ana chuki nao tuBashiru na Polepole wanautingisha vip utawala wa Samia we kiazi ? Ilihali kila mmoja anaona umeme unawaka masaa 6 kila sku
Kuna muda na wewe huwa unapenda kutetea ujinga aisee . Umeyaona ya Sasa wanavyo fanya ujinga Kuna mambo mengine walikuwa wanafanya chini kwani chini na Mzee alikuwa na taarifa zao rejea tukio la kumsengenya magufuli na tukio ambalo ni muendelezo wa mengi waliyofanya jamaa alikuwa anawachora tu kwahiyo usiseme hawakuwa na makosaMkuu Zanzibar-ASP, thanks for this!, very objective na hoja zote ni kweli kabisa, ila hoja ya kuwarejesha Nape na January ni baraka kwa Samia kwasababu kiukweli kabisa, hawakutendewa haki na hawakuwa na kosa lolote la kustahili kutumbuliwa!. Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
Ni Moja ya Viongozi ana heshima na nguvu kubwa kubwa nyanda za juu kusin. Mikoa ya Iringa, njombe,songea ,mbeya ,rukwa na katavi na Bado maeneo mengine unaanzaje kusema mtu huyo Hana nguvuLukuvi alikuwa na nguvu gani? Acha vichekesho
Hata Mtafute makorokoro, huyu bibi hatoshi kwenye hicho kiti full stop.Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa ni kosa la kikatiba pia lilikuwa ni kosa la kisiasa. Ule ulikuwa ni udhaifu mkubwa wa Samia kisiasa. Wanasiasa wale wale, leo ndio wanatumika kumzunguka na kunyemelea kiti chake.
2. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
3. Kuanza mapema wazi wazi harakati za urais 2025 kwa mwamvuli wa kijinsia. Siasa za kuukumbatia uanamke ni sumu inayochukiwa vibaya sana na jamii yenye mtizamo wa mfumo dume na wanawake wanaoamini mwanamke hafai kuwaongoza au kuwatawala. Bila kujua, ghafla wanaume na wanawake wengi wanamchukia rais Samia kwa mtizamo huo.
4. Kuwarudisha haraka serikalini na ndani ya CCM watu waliofukuzwa (kwa haki au chuki) na Magufuli au wanasiasa waandamizi waliokuwepo katika serikali au CCM kipindi cha Kikwete. Watu kama Kinana, January Makamba, Nape etc. Watu wengi wenye mtizamo chanya kuhusu Magufuli wanamuoa Samia kama mtu aliyekuja kuzika yote mema ya Magufuli ili kuyafufua yote mabaya ya Kikwete.
5. Kuwapooza au kuwakumbatia baadhi ya watu wasioweza kufaa kabisa katika utawala wake. Kundi kama la Covid 19, Sukuma gang (Bashiru, Pole Pole) lilipaswa liwe ni hadithi iliyosahaulika ndani ya wiki mbili tu toka Samia aingie madarakani. Uwepo wa hao watu bungeni, serikalini au ndani ya CCM ni kujiharibia kisiasa.
Bado Rais Samia hajachelewa sana, anaweza kurekebisha baadhi ya mambo sasa na baadhi ya mambo kwenda sawia kwa sehemu.
Mkuu Zanzibar-ASP, thanks for this!, very objective na hoja zote ni kweli kabisa, ila hoja ya kuwarejesha Nape na January ni baraka kwa Samia kwasababu kiukweli kabisa, hawakutendewa haki na hawakuwa na kosa lolote la kustahili kutumbuliwa!. Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
..najua umemaanisha kwamba Ssh anaweza kufa.
..Ccm hawataki Katiba mpya wala Tume Huru na haijalishi Mwenyekiti ni Ssh, Philip Mpango, Hussein Mwinyi, Kassim Majaliwa, etc.
Wapi ilipomgharimu ? Au Ni shida zako zinakusumbua?Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa.
1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa ni kosa la kikatiba pia lilikuwa ni kosa la kisiasa. Ule ulikuwa ni udhaifu mkubwa wa Samia kisiasa. Wanasiasa wale wale, leo ndio wanatumika kumzunguka na kunyemelea kiti chake.
2. Kumtengenezea Mbowe kesi ya ugaidi ili kuzima mjadala wa Katiba Mpya. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la kisiasa. Pasipo sababu ya msingi Samia aliamua kujitengenezea uadui na wapinzani wa CCM. Japokuwa Samia alikuja kuifuta ile kesi baadaye sana lakini itachukua muda mrefu sana kuirudisha hiyo imani.
3. Kuanza mapema wazi wazi harakati za urais 2025 kwa mwamvuli wa kijinsia. Siasa za kuukumbatia uanamke ni sumu inayochukiwa vibaya sana na jamii yenye mtizamo wa mfumo dume na wanawake wanaoamini mwanamke hafai kuwaongoza au kuwatawala. Bila kujua, ghafla wanaume na wanawake wengi wanamchukia rais Samia kwa mtizamo huo.
4. Kuwarudisha haraka serikalini na ndani ya CCM watu waliofukuzwa (kwa haki au chuki) na Magufuli au wanasiasa waandamizi waliokuwepo katika serikali au CCM kipindi cha Kikwete. Watu kama Kinana, January Makamba, Nape etc. Watu wengi wenye mtizamo chanya kuhusu Magufuli wanamuoa Samia kama mtu aliyekuja kuzika yote mema ya Magufuli ili kuyafufua yote mabaya ya Kikwete.
5. Kuwapooza au kuwakumbatia baadhi ya watu wasioweza kufaa kabisa katika utawala wake. Kundi kama la Covid 19, Sukuma gang (Bashiru, Pole Pole) lilipaswa liwe ni hadithi iliyosahaulika ndani ya wiki mbili tu toka Samia aingie madarakani. Uwepo wa hao watu bungeni, serikalini au ndani ya CCM ni kujiharibia kisiasa.
Bado Rais Samia hajachelewa sana, anaweza kurekebisha baadhi ya mambo sasa na baadhi ya mambo kwenda sawia kwa sehemu.
Aliemtoa anajua nguvu yake!Lukuvi alikuwa na nguvu gani? Acha vichekesho