Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Yeye haja sacrifice maisha yake kwa Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao ni wateuleMipango hii yote inategemea wanadamu kuifanya.
Mwambie dadako hapo kwa shemeji yako unapokaa akupikia chai unywe kwanza ndio uje kubishana na sisi wakubwa zako!
Loop holeIkawaje sasa ikafunguliwa mahakamani 2021 na mwisho wa siku 2022 akaifuta?
Ndugu yangu Pascal naomba nikupe ushauri kidogo.Nchi yetu ni ya watu milion zaid ya sitini.Kwa maana hiyo Ina vipaji vingi ,Ina watu wenye akili nyingi sana.Tumeshuhudia huko mashuleni ,vijana wenye uwezo mkubwa wa akili nyingi.Lakin katika uongoz wa wizara na idara za serikali tumengangania kuwa na watoto wa wazee waliopita kwenye uongozi.Na tena wazee walioshindwa kabisa.Hatuwezi kuendelea Kama tutaongozwa na akili ndogo ndogo.Tutapewa ratiba za umeme na Maji kukatika kila kukicha.Asante.Mkuu Zanzibar-ASP, thanks for this!, very objective na hoja zote ni kweli kabisa, ila hoja ya kuwarejesha Nape na January ni baraka kwa Samia kwasababu kiukweli kabisa, hawakutendewa haki na hawakuwa na kosa lolote la kustahili kutumbuliwa!. Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
Una uzoefu wa mambo mengi sana na hata kiuandishi ila kwa hili umeshindwa kusoma nyuso za watanzania walio wengi. Hata kama una upande wa 2025 kama ambavyo unasema, nakushauri waangalie tena watanzania usoni kwa sasa alafu waonee huruma.Mkuu Zanzibar-ASP, thanks for this!, very objective na hoja zote ni kweli kabisa, ila hoja ya kuwarejesha Nape na January ni baraka kwa Samia kwasababu kiukweli kabisa, hawakutendewa haki na hawakuwa na kosa lolote la kustahili kutumbuliwa!. Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
Nilimaanisha amuulize Odinga sio atakufa hata kidogo..
mkuu sikubaliani na wewe kwa walichofanya walistahili adhabu hiyo ''boss is always right'' wao walikuwa wanataka kupindisha walikosea na ndio maana baadhi walitubu kwa kuomba msamaha.Mkuu Zanzibar-ASP, thanks for this!, very objective na hoja zote ni kweli kabisa, ila hoja ya kuwarejesha Nape na January ni baraka kwa Samia kwasababu kiukweli kabisa, hawakutendewa haki na hawakuwa na kosa lolote la kustahili kutumbuliwa!. Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
P
Insakitisha sana, dhuluma imekisiri kupita maelezoUkimtazama sura yake imeanza kuzeeka ghafla bila mpangilio laana ya kudhulumu haki ya mwingine kilaghai ni mbaya ni sawa na kurusha jiwe hewani ukidhani litapotelea huko, hamadi linakugonga kichwani kwa kasi ya nguvu ya mvutano na uzito wake bila kuepushwa na kinga uliyojiwekea.