Makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

Mipango hii yote inategemea wanadamu kuifanya.

..najua umemaanisha kwamba Ssh anaweza kufa.

..Ccm hawataki Katiba mpya wala Tume Huru na haijalishi Mwenyekiti ni Ssh, Philip Mpango, Hussein Mwinyi, Kassim Majaliwa, etc.
 
6. Kumpa mtu mwingine amshikie remote control huku yeye akiwa anatazama tamthiliya
 
Dhaifu. kutokuwa na kauli ikaingia maskioni mwa watendaji.
 
Naunga mkono hoja.

Kitendo cha kutoruhusu mjadala na hatua za kupata katiba mpya itamgharimu sana na atakuja kumbuka shuka kumekucha
 
Huyu mama yenu alipokwamia ni kuwarudisha kazini kinana na makamba sana sana kinana ni mafia saana yule mzee
 
Lukuvi alikuwa na nguvu gani? Acha vichekesho
 
Kesi hii ilianza July 2020.
 
Hoja zako zimetulia. Ila tusaidie kama mh yeye na jpm ni kitu kimoja mbona wateuliwa wa jpma walitemwa ghafla within a week ukianza na yule wa DCEA.hawa wakina bashiru hata mwigulu jpm alimtoa na kumbuka raisi ni tasisi anapokea taarifa nyingi. Huko ujenzi akachomoa watu waliojenga miradi, akaweka watu wake. Na raisi anateua watu wengi kiasi kwamba sio wote atakuwa amewaelewa nia zao wengine ni wezi wasomi na masuti yao.

Watu ambao jpm aliwatoa wengine kwa viashiria vya ufisadi yeye taratibu akawarudisha akina Mchechu, yule deputy wa mchechu sasa kapewa mwenyekiti wa bodi ya maji somebody mndolwa. Mafuru, akina sofia simba, hawa ghasia na wengineo wengi.

Kwa hayo yaliyoendelea mpaka ile dhana potofu ya msoga kashika usukani ikatamalaki uraiani.

Siku tukipata kiongozi atakayejua tanzania kuna watu milioni 62 na haifai wala haipendezi kurudia kuteua watu wale wale na ndio maana wenzetu wana mikataba mifupi ya ajira. Ili mtu asizoee kazi mpaka akaugua bado yuko ofisi hiyohiyo mawazo yaleyale.
 
Kuna muda na wewe huwa unapenda kutetea ujinga aisee . Umeyaona ya Sasa wanavyo fanya ujinga Kuna mambo mengine walikuwa wanafanya chini kwani chini na Mzee alikuwa na taarifa zao rejea tukio la kumsengenya magufuli na tukio ambalo ni muendelezo wa mengi waliyofanya jamaa alikuwa anawachora tu kwahiyo usiseme hawakuwa na makosa

Tazama utendaji wao Sasa hiv
 
Lukuvi alikuwa na nguvu gani? Acha vichekesho
Ni Moja ya Viongozi ana heshima na nguvu kubwa kubwa nyanda za juu kusin. Mikoa ya Iringa, njombe,songea ,mbeya ,rukwa na katavi na Bado maeneo mengine unaanzaje kusema mtu huyo Hana nguvu
 
Hata Mtafute makorokoro, huyu bibi hatoshi kwenye hicho kiti full stop.
 
Upo vizuri ndugu..
Ungeongeza asivyoweza bana matumizi..
Kuwa tegemezi kwa ushauri kwa mzee wa msoga..
Apunguze mipasho na rusha roho, yeye rais na siyo kina kopa!
 
Hamurudi ng'o hata mkazane Kweli kweli😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Ni sifa zipi za kiongozi kutumbuliwa ama ni rais yy anavyoamua kufanya maamuzi?katiba inassemaje khs hilo?cc-P
 
..najua umemaanisha kwamba Ssh anaweza kufa.

..Ccm hawataki Katiba mpya wala Tume Huru na haijalishi Mwenyekiti ni Ssh, Philip Mpango, Hussein Mwinyi, Kassim Majaliwa, etc.

Nilimaanisha amuulize Odinga sio atakufa hata kidogo..
 
Wapi ilipomgharimu ? Au Ni shida zako zinakusumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…