Makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

Anajiandaa kuchukua mikoba ya Bashiru [emoji16]
Mwambie dadako hapo kwa shemeji yako unapokaa akupikia chai unywe kwanza ndio uje kubishana na sisi wakubwa zako!
 
Ndugu yangu Pascal naomba nikupe ushauri kidogo.Nchi yetu ni ya watu milion zaid ya sitini.Kwa maana hiyo Ina vipaji vingi ,Ina watu wenye akili nyingi sana.Tumeshuhudia huko mashuleni ,vijana wenye uwezo mkubwa wa akili nyingi.Lakin katika uongoz wa wizara na idara za serikali tumengangania kuwa na watoto wa wazee waliopita kwenye uongozi.Na tena wazee walioshindwa kabisa.Hatuwezi kuendelea Kama tutaongozwa na akili ndogo ndogo.Tutapewa ratiba za umeme na Maji kukatika kila kukicha.Asante.
 
Akubali tu hii show haiwezi katu, walimdanganya watamsaidia wakati wao wenyewe mbele ya jamii hawakubaliki tena. Huu wote ni ubatiri tu na hawavumiliki tena
 
Una uzoefu wa mambo mengi sana na hata kiuandishi ila kwa hili umeshindwa kusoma nyuso za watanzania walio wengi. Hata kama una upande wa 2025 kama ambavyo unasema, nakushauri waangalie tena watanzania usoni kwa sasa alafu waonee huruma.

Waandishi mnahitaji sana kuisoma jamii ili kuwasaidia watawala na si kuwasoma watawala ili kuwasaidia wananchi
 
namba 4. kiukweli tangu alipowarudisha hawa watu namuona kama msaliti mnafiki namba moja Duniani.

lakini kuna mtu akaniambia ndivyo walivyo nisishangae sana
 
mkuu sikubaliani na wewe kwa walichofanya walistahili adhabu hiyo ''boss is always right'' wao walikuwa wanataka kupindisha walikosea na ndio maana baadhi walitubu kwa kuomba msamaha.
 
Kinana, mwizi wa pembe za ndovu wa kimataifa, aliyekubuhu.
 
Insakitisha sana, dhuluma imekisiri kupita maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…