Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Aisee mwamba mtoto akanasa kwenye ulimbo [emoji23]
 
Pesa ikiwepo sehemu ya nauli ya ten ,mi natuma laki na air time ten ,halafu naendelea kula bia na nyama choma,sms lazima zijazane inbox, kila hatua atakayofanya lazima atanijulisha,ili nisije badilisha mawazo
This is what am talking about. Hapo lazima aje mkuu.
 
Achana na pesa mkuu...kuna wana majobless wanagonga pisi kali kwa ujanjaujanja tu wa dizaini hii..demu anatoa mpaka jicho..akija kutahamaki mwana kashaamsha kitambo..
 
Ww hao labda mademu wa kizungu ndo utume nauli bila ya kumsumbua atakuja ila wa kibongo moka upge simu kila muda dadekii ukijifanya kama hutaki nae anafanya kuilia mishkaki hyo hela
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
 
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
U have got a very little understanding about women
 
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
Mademu wa kibongo hata kama anataka atajifanya hataki na hawezi kukulazmisha aje geto labda uwe umeahamla zaidi ya mara 2 au 3
 
Kuna jamaa baada ya kufanyiwa hivyo, akatuma tena hela na sms kuwa inaonekana demu ana shida sana. Demu alikuja na akaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…