Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Aisee mwamba mtoto akanasa kwenye ulimbo [emoji23]Yan leo nna hasira kinoma, Bora kuwa malaya kuliko kumtegemea mtu mmoja..Anyways umenikumbusha mbali sana siku moja wakati bado nina michezo ya hatari nlienda kiwanja nikamwona dada wa mtaani yupo na wana(alipita akiwa anaenda washroom) nlikuwaga namtaka ila sikuwah kupata muda wa kuongea nae, nikasoma mchezo alipokaa nikaona kama jamaa wanasua sua..nikavuta subra, nkajua tu lazima atapita tena, alivyopita tena nikamnong'oneza huku namshikisha elfu arobaini "kama jamaa watashindwa kukurudisha nyumbani hiyo ndio nauli yako", akachukua simu yangu akajitext...mida mibovu kapiga simu nakuja njoo ufungue mlango...Achana na mchezo wa pesa mkuu wanawake wanaupenda...