Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

Yan leo nna hasira kinoma, Bora kuwa malaya kuliko kumtegemea mtu mmoja..Anyways umenikumbusha mbali sana siku moja wakati bado nina michezo ya hatari nlienda kiwanja nikamwona dada wa mtaani yupo na wana(alipita akiwa anaenda washroom) nlikuwaga namtaka ila sikuwah kupata muda wa kuongea nae, nikasoma mchezo alipokaa nikaona kama jamaa wanasua sua..nikavuta subra, nkajua tu lazima atapita tena, alivyopita tena nikamnong'oneza huku namshikisha elfu arobaini "kama jamaa watashindwa kukurudisha nyumbani hiyo ndio nauli yako", akachukua simu yangu akajitext...mida mibovu kapiga simu nakuja njoo ufungue mlango...Achana na mchezo wa pesa mkuu wanawake wanaupenda...
Aisee mwamba mtoto akanasa kwenye ulimbo [emoji23]
 
Pesa ikiwepo sehemu ya nauli ya ten ,mi natuma laki na air time ten ,halafu naendelea kula bia na nyama choma,sms lazima zijazane inbox, kila hatua atakayofanya lazima atanijulisha,ili nisije badilisha mawazo
This is what am talking about. Hapo lazima aje mkuu.
 
Achana na pesa mkuu...kuna wana majobless wanagonga pisi kali kwa ujanjaujanja tu wa dizaini hii..demu anatoa mpaka jicho..akija kutahamaki mwana kashaamsha kitambo..
 
Ww hao labda mademu wa kizungu ndo utume nauli bila ya kumsumbua atakuja ila wa kibongo moka upge simu kila muda dadekii ukijifanya kama hutaki nae anafanya kuilia mishkaki hyo hela
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
 
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
U have got a very little understanding about women
 
Halafu anakuambia niliona uko kimya nikajua haupo
Mwanamke akiamua kuja atakuja tu hata kwa nauli yake ila kama hana mpango haji hata utume nauli mara 5
Mademu wa kibongo hata kama anataka atajifanya hataki na hawezi kukulazmisha aje geto labda uwe umeahamla zaidi ya mara 2 au 3
 
Nimemtumia juzi dada mmoja hivi sh 13,000 na nauli ni 6000 mpaka nilipo akaingia mitini.

Nikabaki nacheka tu,maana angekuja angekula vizuri,ningem- handle vizuri,ningemnyonya papuchi mpaka azimie ma mikuno mitamu ningempa,nilikuwa nipo tayari kwenda kwao na ningempa fungu anunue nguo za sikukuu wiki ijayo.

Et akajifanya mjanja akaingia mitini na 13000 hahahaaaaaa wanawake bwana,wapo very blind sometimes.

Kuna jamaa baada ya kufanyiwa hivyo, akatuma tena hela na sms kuwa inaonekana demu ana shida sana. Demu alikuja na akaliwa.
 
Back
Top Bottom