Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

Hawa wote wamekupitia ukathibitisha?..

Mbona wake wa wanajeshi wanachepuka?
Siku hizi tafiti zisizo na data zinaongezeka kwa kasi mno, tunaambiwa tu tafiti zinaonyesha bila kujua aliyetafiti ni nani, tafiti kafanyia wapi; na mbaya zaidi hakuna takwimu.
 
Nisipoteze muda.

Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni

1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo.

2. Wanajeshi: Hawa Wana mazoezi mengi mno. Akimkamata mwanamke, basi mwanamke ataomba poo.

3. Wanamichezo: Mpira wa miguu, riadha, volleyball, basketball, waogeleaji, boxing nk

4. Wanamuziki: Sio ule Muzuki wa kisharobaro Mtu anaimba na kucheza mara moja kwa wiki. Namaanisha mtu acheze shoo ya muziki kila siku walau nusu saa au saa moja na kumwaga jasho jingi. Hawa kitandani ni balaaahh.

5. Watu wa mazoezi mbalimbali: Push-up, kichurachura, jogging, nk.

6 . Wakulima: Hawa hufanya shughuli nyingi za shamba na kushughulisha viungo vyote kuanzia unyayo hadi utosi. Hawa wakimkamata mwanamke utasikia uuuuuuiiiiiiiii, unaiuuuaaahhh. Ndoa zao ni imara Sana Sana.
Kuna kua na nguvu

Na kuna kua na nguvu za kiume

Wee semea mazoezi yanaongeza Pumzi na Stamina.

Na nivema wanaume wafanye mazoez hasa ya kukimbia, mpira n.k

Mimi mazoez yangu ni kukimbia na mpira na Ukijirongea siku nikukute ndani kwangu ukiwa Uchi, utakua kama uyu[emoji116]
IMG_20210206_154616_214.jpg
IMG_20210206_154630_973.jpg
IMG_20210206_154559_784.jpg
 
Nisipoteze muda.

Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni

1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo.

2. Wanajeshi: Hawa Wana mazoezi mengi mno. Akimkamata mwanamke, basi mwanamke ataomba poo.

3. Wanamichezo: Mpira wa miguu, riadha, volleyball, basketball, waogeleaji, boxing nk

4. Wanamuziki: Sio ule Muzuki wa kisharobaro Mtu anaimba na kucheza mara moja kwa wiki. Namaanisha mtu acheze shoo ya muziki kila siku walau nusu saa au saa moja na kumwaga jasho jingi. Hawa kitandani ni balaaahh.

5. Watu wa mazoezi mbalimbali: Push-up, kichurachura, jogging, nk.

6 . Wakulima: Hawa hufanya shughuli nyingi za shamba na kushughulisha viungo vyote kuanzia unyayo hadi utosi. Hawa wakimkamata mwanamke utasikia uuuuuuiiiiiiiii, unaiuuuaaahhh. Ndoa zao ni imara Sana Sana.
Sis usalama wa taifa umetusahau.
 
Nilichogundua kwanza hujui maana ya nguvu za kiume kwa mwanaume akiwa kitandani. Nilichogundua unafikiri kuwa na nguvu za mwili ndiyo kuwa na nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu nafahamu kutofautisha kati ya NGUVU ZA KIUME KWA SEX na NGUVU ZA KIUME ZA MWILI (BODY ENERGY).

Kuna uhusiano kidogo sana kwa mtu ambae anabeba mizigo mizito kuwa itapelejea yeye kuwa na nguvu za kiume.

Kiufupi nguvu za kiume ni sensitive issue kuliko manguvu ya mwili.

Kiufupi umetumia traditional theory.
Lakini ungejua concept ya Testosterone Hormone walau ungeweza ku connect dots mkuu. This Hormone plays a vital role in male sexual characters accompanied by enough sleep and good blood flow mtu lazma awe imara.

Kulala vizuri lazma uchoke sana, kuchoka lazma uwe na enough physical activities.

Unless uwe na mapungufu ya kuzaliwa nayo ila kama uko physicaly fit. Basi utakuwa imara kitandani.
 
Kwani zinatakiwa nguvu sana eee
Hahahah ingekuwa inawezekana kuazimana jinsia ungeazima ya kiume uone mziki wake. Hasa ukiwa na kitambi ujue mashine lazma ilendemke af mwanamke anakwambia hunifikishi 😂😂😂
 
Hahahah ingekuwa inawezekana kuazimana jinsia ungeazima ya kiume uone mziki wake. Hasa ukiwa na kitambi ujue mashine lazma ilendemke af mwanamke anakwambia hunifikishi [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna sio nguvu ni akili tu
 
Wewe umenielewa Sana Sana. Stamina stamina satamina na uwezo wa kurudia mara kwa mara.
Uwezo wa kurudia mara kwa mara sio wote wenye nao, unaeza kuta mtu ana stamina ila akipiga tatu mwisho. Hawez endelea mzigo unakuwa umekata ila kuna wale utaskia dah....nimempiga goli 7 mtt Aisha yupo hoi ndani huko...Hili sina evidence nalo kama ni chai ama vitu ambavyo vipo kihalisia.
 
Subiria uote tambi mafuta yazibe mishipa ya damu then utagundua jambo flani [emoji16][emoji16][emoji16] we unahisi wanaobugia viagra hawana akili wale?.

Kuongeza stability lkn mkuu tofautisha nguvu na kuhimili
 
Uwezo wa kurudia mara kwa mara sio wote wenye nao, unaeza kuta mtu ana stamina ila akipiga tatu mwisho. Hawez endelea mzigo unakuwa umekata ila kuna wale utaskia dah....nimempiga goli 7 mtt Aisha yupo hoi ndani huko...Hili sina evidence nalo kama ni chai ama vitu ambavyo vipo kihalisia.

Chai za corona hixo
 
Back
Top Bottom