kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TTCL yangu toka jana inaniandikia hivi, yani siweiz fanya chochote hata nikipiga huduma kwa wateja inaniambia nimevuka kiwango cha malipo ya simu.
Mwenye kujua tatizo nini anisaidie tafadhali.
View attachment 1334527
[/QUOTE
TCRA hao mkulu
Asante nakaribia
....😂😂😂 usitukatae bhana tupokee aisee maana tukijaa tutaongeza faida kwao.Bakini hukohuko, tukijazana huku halotel watapandisha tena bei ya vifurushi
Sent using Jamii Forums mobile app
tushrikishane hzo shughuli tupate ku earn together[emoji122]Ndio shughuli zangu nazifanya kupitia simu ambayo ina internet. Siwez kosa internet kwenye simu yangu labda fiber ikatike kwenye mnara wa tigo
Buku ten, hii nliipata kwenye sahiz yako, hila hii menu ya sahiz yako hazifanani kilamtu anapewa ofa kivyake
Unasoma chuo gani mkuuBinafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Voda mbona wanatoa 1GB kwa 1000 tena kwa siku 10