Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Wangapi?

Wewe umejuaje wengi wamepatwa tatizo hilo?

Sasa humu ndio BODI?
 
In short naona serikali haina mpamgo wa kutaka hili deni tulimalize maisha yote.

Hii imekuwa na tax tu
 
Wengi wamepatwa na kadhia hii, inabidi hii bosi watoe ufafanuzi
 
Huyo mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo hamna kitu. Yani huyo ni miongongoni mwa watu wakutumbuliwa. Yupo yupo tu
 
Huu uhuni mm niliuhisi baada ya bodi kuchelewa kutoa updates
 
Huo ujinga wa before 1st May mimi wameniwekea laki 5,
Nitapambana hadi mwisho sasa hivi nakusanya ushahidi nitawarudia
 
Wangapi ?

Wewe umejuaje wengi wamepatwa tatizo hilo?

Sasa humu ndio BODI ?
Wengi tu hata mimi na wafanyakazi wengine ofisini hali ni hiyo hiyo makato wametoa lakini deni liko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…