Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

Heri Yako umerudi nyumba kwa mwaka mmoja. Mm 2022 nimeinuka kidogo baada ya kurudi nyuma kwa miaka 7 mfululizo. YAANI tangu 2014 - Dec 2021
Mungu akuinue zaidi kwa mwaka ujao na inayoendelea mkuu. Mimi namuomba Mungu angalau Dec hii anipe mwanga wa vipi naianza 2023 maana sina direction kabisa nina imani kwa jitihada atatenda tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keep it up mkuu
 
Nilikuwa na ma3, nimetimiza moja..

1. Kuanza kuwekesha pesa ambazo sitozigusa β€˜utt βœ…

2. Kujua kudrive manual gear..

3. Kuwa na smart tall dark handsome.. badoo sipati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lenie
2. Mwambie mzee wa subaru akuelekeze

3. Wenye vitambi ndio wako wamejaa tele 🀣🀣
 
1. Subaru ni automatic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

3. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naumia sanaaa
1. Momo je?

3. Life sio fair eeh
Hapo bado hujapigwa na heavy object kichwani, daah kikubwa uhai 🀣🀣🀣
 
Amen
 
Siku 17 nilipumzika, siku hizi mara nyingi nanywea kwa mangi angalau situmii hela nyingi.,
Bora unywee kwa mangi,,, zile mnakaa bar kampani kubwa,, unapiga round unatumia hela nyingi Sana ! Unaweza tumia 60k ukaishia kunywa bia 4 na mchemsho tu ,,,, kumbe ungekua alone ungepata huduma hio hio kwa gharama kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…