Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Weka nenoPole sana comrade
Weka nenoPole sana comrade
Hakuna mzazi mkoloni lea wanao kimayai mayai uone matokeo yake baadae.Baba yako ni mkoloni kama alivyokuwa mzee wangu , dunia imebadilika… misingi inafundishwa kwa njia nyingine sio mateso ya kijinga na kupigwa kama ngoma
Mengine aibu kaka ,wacha watufundishe maisha tu maana hawa ndiyo unakuta mnafanana mshahara ila mwenzako ana maendeleo kedekede .Weka neno
Haaahaa hii DUNIA acha tu...kaka 😊.Mengine aibu kaka ,wacha watufundishe maisha tu maana hawa ndiyo unakuta mnafanana mshahara ila mwenzako ana maendeleo kedekede .
Sasa mtu umejua kupika ugali na wali ukiwa chuo hapa utachangia nini zaidi ya kutoa macho tu kaka .?
Sio kweli, kwa mfano vitoto vya kizungu mbona vinakuaga good behave na civilized yaan hii issue itakua ipo kwenye DNA..Hakuna mzazi mkoloni lea wanao kimayai mayai uone matokeo yake baadae.
Mtoto bila ukali haendi.
Punguza washikaji wa tungi ila uwe na hesabu kamili ya tungi ya mwezi .Haaahaa hii DUNIA acha tu...kaka 😊.
Mimi kwa Sasa matumizi ya pesa yamekua juu sana nafuja sana PESA Ina bidii nijitafakali maana sijui ni sababu ya Tungi na washikaji ni HATAREEE KUBWA kaka
Kweli kaka naachana na KAMPANI MAANA MIMI SIOGO MCHOYO KABISA HUWA NANUNULIAGA SANA SANAAAAAA WATU..Punguza washikaji wa tungi ila uwe na hesabu kamili ya tungi ya mwezi .
Ukweli sisi wa bar usipituliza kichwa utajikutq wewe unawaleweshaga washikaji tu ,wao wanafanya maendeleo ila wewe umesimama tu ,kazi kukuita homie homie.
Sema mimi pombe za magrupu niliacha kaka baada ya kuona kuna wana wengine mnaenda wote kulewa wanaanzisha fujo kwasbabu upo wewe wanajua msala utaubeba na yataisha wasijue wananiharibia sifa na heshima zangu mtaani na kazini hivyo napenda kulewa pekee yangu na kampani iwe ya watu stranger stranger ili humo ni story za maisha na experience mbalimbali maana humo hatujuani na ni humo ndiyo mara tutishiwe na tubastola na tutoto twa mbweni ila tunaishi nao kikubwa kufurahi kaka
Leo kuna watoto wa mabasi ya mtoto hata mbuzi anagopa kushka anaxema inang'ata mbuzi wasumbufu.Zamani bora ingawa mimi sikukulia eneo la kuwa na shamba.. TV na vikadeti vya muvi etc vilikuwepo na kisatalaiti..
Mashuleni pia kuwa na bustani na tuta la kulima ilikuwa raha sana jijini Dar eneo zuri.. Kumwagilia, kupanda maua unapenda kwa kipande unapewa mbele au nyuma ya darasa..
kuendeleza haswa kazi za nyumbani, kuwafuatilia masomo etc ni muhimu sana
Miaka ya sasa na nyuma kidogo dunia ina mengi.. Wazazi tuwajenge watoto hongera kwa mengi yaani yote ulivyo sasa una ujuzi. Sasa imagine mtoto ambaye hajui lolote.. Hata kutandika kitanda.. Kufagia etc
Watoto bila hayo wakikaa hawasemi inawapa picha ya kukosekana upendo wa kulelewa na wazazi... Kulea ina mengi..
Hii topic nzuri sana na ina mengi...
Natamani kuandika zaidi ila nimeichokaaa.. Sita usiku sasa hivi..
Usiache wanao wakawa na uhuru bila kuwafunza pia kiaina yoyote..
Vitoto vya late 90s na 2000 ukimzingua mnaeza kunjana, ila mzee wangu anaweza kuzingua ukitaka kuleta fyoko fimbo inawekwa chini unakula hadi vitasa 😀😀😀ilikua marufuku kuhoji hata mkubwa akikosea.
Mzee ali leta TAHARUKII 😊Vitoto vya late 90s na 2000 ukimzingua mnaeza kunjana, ila mzee wangu anaweza kuzingua ukitaka kuleta fyoko fimbo inawekwa chini unakula hadi vitasa 😀😀😀
Bro wangu nakumbuka alikuja likizo alikua Tosamaganga advance sijui mzee alimuuliza nini akajibu huku anaondoka mzee aliinuka na stuli zile old school akamlenga bahati ilimkosa kosa mama alipiga yowe na mzee hakujali wala nini 😂😂 , ile nyumba ilikua zaidi chuo cha mafunzo
Rip 🙏 mzee
Hiyo ni 1/35 ya potential near misses yule mzee alikua hatari sana hata alipokuwa kikosiniMzee ali leta TAHARUKII 😊
Kuna kitoto cha rafkiangu kikiona sisimizi kinapiga mwano, unaweza kimbizana unajua mtoto kaona au kang’atwa nyoka kumbe sisimizi🙌🏾Leo kuna watoto wa mabasi ya mtoto hata mbuzi anagopa kushka anaxema inang'ata mbuzi wasumbufu.
Na huyu ndiye mama mzuri ,ni kiboko tu 😀😀Naona kila mtu mzee, haya wenye wamama wakoloni mlete shuhuda! Binafsi mama yangu mpaka sasa akinikuta hata nimekaa na kijana hamfahamu tunaongea ataleta zesheni balaa, kutoka nyumbani kwenda sleep over haiwezekani mpaka sasa😬
Mpaka hapo huna mahusiano serious najua😁😁Naona kila mtu mzee, haya wenye wamama wakoloni mlete shuhuda! Binafsi mama yangu mpaka sasa akinikuta hata nimekaa na kijana hamfahamu tunaongea ataleta zesheni balaa, kutoka nyumbani kwenda sleep over haiwezekani mpaka sasa😬
Yani nakoma! Kuna siku kapita ofisini kwangu akanikuta nimekaa na kijana kihasara hasara, alifika mbele kidogo akapaki akanirudia uwee! Nilipigiwa hiyo cm moyo ukafanya paah! nilipigwa maswali hayachekeshi! Kiufupi mama hapendi hata mazoea sana na mtoto lol! Hata ukimtext anajibu mara mbili ya tatu anakupigia anasema tunachat kama wanafunzi siwezi, ila my dad wallahii najiachia naye kama mshikaji wangu😍Na huyu ndiye mama mzuri ,ni kiboko tu 😀😀
Naanzaje? Kwanza nikikaa home huwa sina mahusiano kabisa maana nikipigiwa simu utasikia nani huyo? Nikikaa sebleni hakuna kuscroll kwenye cm naambiwa tabia mbaya nyie🙌🏾😤Mpaka hapo huna mahusiano serious najua😁😁
Hiyo ni nzuri unajua watoto wengi wanapotea njia sababu ya akina mama ila wewe huezi potea umekutana na chuma .Yani nakoma! Kuna siku kapita ofisini kwangu akanikuta nimekaa na kijana kihasara hasara, alifika mbele kidogo akapaki akanirudia uwee! Nilipigiwa hiyo cm moyo ukafanya paah! nilipigwa maswali hayachekeshi! Kiufupi mama hapendi hata mazoea sana na mtoto lol! Hata ukimtext anajibu mara mbili ya tatu anakupigia anasema tunachat kama wanafunzi siwezi, ila my dad wallahii najiachia naye kama mshikaji wangu😍