Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

Hiyo ni nzuri unajua watoto wengi wanapotea njia sababu ya akina mama ila wewe huezi potea umekutana na chuma .
Ila kama sio mvaa buti basi ni wa kanda maalumu 😀
Wee usiombe, halafu ss kuna characters nimezichukua hapo in real life si mchezo🙌🏾
Nayatqmani maisha hayo nahisi ningekuwa ngangali au ngunguli sema ndiyo vile tena .
Unaweza kuyaaply kwa kizazi chako!
Rest easy parents nawapenda sana washikaji zangu hawa ila dunia wameiruhusu inidunde maana hawakunipa ukweli wa maisha ila napambana nayo mpaka yanikome kabisa
Pole mkuu!
 
Wee usiombe, halafu ss kuna characters nimezichukua hapo in real life si mchezo🙌🏾

Unaweza kuyaaply kwa kizazi chako!

Pole mkuu!
Natamani tutoto twangu nitupeleke mputa mpaka nisipokuwepo tuniite brother dikteta ili waendane na dunia hii ya sasa ukweli ni kuwa inawahitaji watu aina ya bi mkubwa wako na ndiyo wanaendana nayo ila bila hivyo unaishia kupata mitoto inakutia aibu uzeeni
 
Mimi niwape pongez wote mliolelewa na baba zenu tena kwa uwajibikaji

Binafs nikir wazaz wangu walinitelekeza kwa bibi tena sio bibi n bibi yake mama sijui mm nimuiteje imagine alikuwa na umri wa miaka 65 wakat huo mm 5yrs je unadhan angeweza kuyasimamia hayo mliyoyasema hapo juu lakn namshukuru nilijitambua toka nikiwa mdogo sina msaada lazma nipambane mwenyewe ili bibi ale na mm nipate mahtaj ya shule

Kiufup mm nilikuwa jeshi la mtu mmoja yaan mm n baba mama na mlez pia

Nimeanza kulima.mahind nikiwa na 9yrs na nikivuna nauza naweka akiba mengne kwa chakula na pesa natunza

Uhuru ulikuwa mkubwa sana kwangu hakuna wa kunizuia nyumban

MUNGU alibless class nilikuwa vizur sana baada ya kumaliza std 7 nilipangiwa bwen mkoa x lakn nilipambana kupata uhamisho kurid shule jiran na home ili kumlea bibi kiukwel alikuwa kikongwe sana
Nikiwa form 3 bibi alifarik na imagine hapo ndio nilimjua baba na mama kwa mara ya kwanza

SINA MENGI YA KUSEMA ILA WAZAZI WANAOTUNZA WATOTO WAO KWA TARATIBU NA KANUNI HONGERENI SANA
leo nipo jiji la chalamila nam na watoto nahakikisha kila hatua nipo nao na namshukuru wananisikiliza sana huwa nawasilimulia nilipotoka
Aisee,
pole na hongera mkuu, wazazi kamanwapo hai watakuwa wazee sasahiv, vipi una mawasiliano nao? au ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
 
Naona kila mtu mzee, haya wenye wamama wakoloni mlete shuhuda! Binafsi mama yangu mpaka sasa akinikuta hata nimekaa na kijana hamfahamu tunaongea ataleta zesheni balaa, kutoka nyumbani kwenda sleep over haiwezekani mpaka sasa😬
Vp lakini seal ipo au ilishatolewa
 
Natamani tutoto twangu nitupeleke mputa mpaka nisipokuwepo tuniite brother dikteta ili waendane na dunia hii ya sasa ukweli ni kuwa inawahitaji watu aina ya bi mkubwa wako na ndiyo wanaendana nayo ila bila hivyo unaishia kupata mitoto inakutia aibu uzeeni
Tupeleke tu usiishie kutamani aisee! My mama is too much sidhani kama ni rahisi kuvumilia😆 sema mimi pia niliapply kdg kwa dogo, basi holiday alipokuja kunisalimia nikimuudhi anajirecord voice note ananipa nisikilize(mom why are u angry at me, u are so angry)😆 malezi ya watoto wa sikuhizi ni kazi sana, especially kama wazazi mtapishana kwenye malezi, sisi tumekula pizza kwenye teenage na uzeeni wao wanazaliwa tu wanazijua🙌🏾
 
Ni kweli kwa dunia ya leo mambo ya ukali kupitiliza kwenye malezi haifai kabisa, kwanza ina adhari kubwa sana katika ukuaji wa mtoto
Pole sana. Umekulia kwenye mazingira ya shida sana. Wana saikolijia wameshafanya research nyingi na kugundua malezi kama uliyopitia yana athari hasi kwa binadamu anapokuwa mkubwa. Nakushauri usipende kabisa kuja kulea watoto wako namna hiyo. Haya ni yale malezi unamkuta mtoto mdogo anakuwa na ile nidhamu ya kijijini, kakauka kama fimbo hata kuangalia watu machoni anaogopa. Kazi yake ni kuitikia ''ndiyo baba'' ''ndiyo baba'' anaogopa hata kuuliza maswali yale ya kitoto, ya udadisi. Badala ta kucheza na wenzake yeye muda wote anatekeleza majukumu ya kazi anazopewa.
 
Mimi niwape pongez wote mliolelewa na baba zenu tena kwa uwajibikaji

Binafs nikir wazaz wangu walinitelekeza kwa bibi tena sio bibi n bibi yake mama sijui mm nimuiteje imagine alikuwa na umri wa miaka 65 wakat huo mm 5yrs je unadhan angeweza kuyasimamia hayo mliyoyasema hapo juu lakn namshukuru nilijitambua toka nikiwa mdogo sina msaada lazma nipambane mwenyewe ili bibi ale na mm nipate mahtaj ya shule

Kiufup mm nilikuwa jeshi la mtu mmoja yaan mm n baba mama na mlez pia

Nimeanza kulima.mahind nikiwa na 9yrs na nikivuna nauza naweka akiba mengne kwa chakula na pesa natunza

Uhuru ulikuwa mkubwa sana kwangu hakuna wa kunizuia nyumban

MUNGU alibless class nilikuwa vizur sana baada ya kumaliza std 7 nilipangiwa bwen mkoa x lakn nilipambana kupata uhamisho kurid shule jiran na home ili kumlea bibi kiukwel alikuwa kikongwe sana
Nikiwa form 3 bibi alifarik na imagine hapo ndio nilimjua baba na mama kwa mara ya kwanza

SINA MENGI YA KUSEMA ILA WAZAZI WANAOTUNZA WATOTO WAO KWA TARATIBU NA KANUNI HONGERENI SANA
leo nipo jiji la chalamila nam na watoto nahakikisha kila hatua nipo nao na namshukuru wananisikiliza sana huwa nawasilimulia nilipotoka
Basi mimi mwanaume akisimulia maisha aliyopitia kama hivi nakuwa too emotional na kutamani angekuwa mume wangu nimfariji..!!

Sijui ni kawaida au umalaya wangu tu! ERoni Joannah 😹😹😹
 
Maisha kama haya nimepitia Mkuu, na ndio maana niko stable sana. Nakumbuka mwaka 1995 nikiwa darasa la kwanza Marehemu babu alikuwa anatuamsha kwenda kulima na jembe la ng'ombe na Nilikuwa na miaka 7 tu tunaamshwa saa 10 alfajiri.

Ukirudi ile saa 5 unakula ugali na mtindi unaenda kuchunga wale ng'ombe hiyo kila weekend lazima. Kazi zingine kujifulia nguo za kawaida na kusaidia kazi zingine.

Hata nilipoanza kukaa na wazazi shule nilikua naenda kwa miguu darasa la nne 4.5 KM asubuhi, mchana narudi kula chakula cha mchana halafu narudi tena shule na jioni narudi tena kwa Mguu nakumbuka home kulikuwa kuna gari lakini hakuna kupelekwa na hupewi hata sh 50 ya kula mihogo au viazi vya kukaangaa.

TV tunaangalia movie za Baby Day Out, Home Alone, Tom & Jerry na taarifa ya habari tu. Marudio ya michezo tunaangalia Jumamosi tu.

Sekondary nayo ilikuwa ni 9KM hupewi hata hela ya kutumia hata kununuliwa baiskeli hakuna.

Kulikuwa na ratiba ya kufunga madirisha saa 12 jioni na ukifunga madirisha hakuna tena kutoka nje. 🤣

Ulikuwa ni msingi imara sana wa maisha ya baadae
Hakuna msingi wowote wa baadaye huyo mzee wako ana roho mbaya..!! 😹😹😹

Anataka maisha aliyopitia yeye na wewe uyaishi. Kama analipa kisasi, hii tabia mangosha mnayo sana..!! 😹

Manyanza hi 👋
 
Ni kweli Malezi yamebadilika.
Kwasababu pia mazingira/zama zimebadilika.

Wazazi wa zaman walikuwa na Unoko mno.
Ila kupitia Unoko huo kuna misingi mizur sana Wazaz wetu walitufundisha kwa vitendo (hasa kuhusu nidhamu na kufanya kaz za nyumban).
Ingawa baadh ya wazazi walikuwa wanatumia nguvu kubwa sana kuwafundisha hiyo misingi watoto wao.

Binafsi sijakulia Kijijin.
Mising ya nidham ,kufanya kaz za nyumban nk ambayo nilipewa na Wazaz wangu nampa pia mwanangu na sioni utofaut mkubwa.

Utofauti naona upo kwenye Elimu. zama hizi Walimu wanatusaidia sana kwenye Malezi na kuwapa Elimu nzur watoto. (mtoto akiwa anasoma shule nzuri). Tofaut na zaman ambapo jukumu la malez lilikuwa ni wazazi, Ndugu, majiran na watu wazima wote waliokuzunguka.

Sasahiv hakuna jiran/ndugu au mtu mzima yoyote atakusaidia kumnyoosha mtoto wako.
Ukizembea ww. Na walimu wasipofanya kaz yao.
Mtoto anaharibika.
Usije kumpa mtoto castle lite
 
Hakuna msingi wowote wa baadaye huyo mzee wako ana roho mbaya..!! 😹😹😹

Anataka maisha aliyopitia yeye na wewe uyaishi. Kama analipa kisasi, hii tabia mangosha mnayo sana..!! 😹

Manyanza hi 👋
Basi mzee wangu hata hakua mnoko kabisaa, Maza ndio alikuwa Jau sana 🤣
Asalaam Aleykum
 
Basi mimi mwanaume akisimulia maisha aliyopitia kama hivi nakuwa too emotional na kutamani angekuwa mume wangu nimfariji..!!

Sijui ni kawaida au umalaya wangu tu! ERoni Joannah 😹😹😹
Kwanza asante kwa kuguswa madam

Unajua watu kama sis tuliokosa mapenz.ya wazaz mara nyingi huwa hatupend kuona watoto na wake zetu wapitie tuliyopitia

Na tunapenda kukaa mbal na watuwaliotuumiza
Ila katu hatuwasahau wale waliotusaidia hata kama n kidogo huwa ngumu kuwasahau

Sijisifii ila kuna mama mmoja alinininiia sare za shule nikiwa std 2 miaka imepita nikasikia anaumwa na watoto wake wamemtenga mwaka juz nilimtumia nauli aje jijini hapa nikae nae na apate matibabu

Kuhusu wazaz nawasaidia siach kuwakumbuka japo hawakai pamoja ila wanajua upendo hauwez kuwa uliojaa mapendo

Binafs namshukuru sana bibi yangu kwasababu alikuwa akinisisitiza sana nisome kwa bidii

Hivyo madam sio wote waliyopitia haya maisha huwa watu wema wengine maisha huwaumiza na kumchukia kila mtu na kuishia kwenye wizi uhalifu hata madawa
 
Back
Top Bottom