Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #241
Inabidi kwenda na sisi wanawake kwa busara na akili zaidi kuliko nguvu. Jaribu kutuelewa tu na ulaini ni muhimu japo usizidi sana, maana ni lazima usimame nafasi yako kiume.Hilo halisumbui Seran nimempa ushahidi. Dada wane hapa Bongo ukiwa laini sana unaonekana kama wanakuweza alafu ukionyesha msimamo wa kiume nayo ni changamoto tu .
Ukishakipata baadaye uniite, nitarudi 😂Anyways turning kwenye huu uzi mpaka sasa hivi Najihisi Kukosa Kitu Ambacho Sikifahamu 🤣
Yani hata tule tumaji maji twa tui unakua hujatusikia 😂Kwakweli aibu lazima aone anayekipokea, kero ni pale kinapokupa mimba wkt hukusikia kitu!😅
Inakasirisha sana!😫Yani hata tule tumaji maji twa tui unakua hujatusikia 😂
View attachment 3632063
Hmm mnawezana kwakweli! MimiSimuwezi, ni kama akili zake haziko sawa hivi 🥴!
Ka-wine kananiwakilisha😃🤸🏽♀️Ntombhana ghete, ulena tuja sana onyanda bhebhe.
Uwongo Zambia shape unayo afu ata uzuri pia inaonekane ni mzuri Bila shaka wewe ni pisi ya chugaNimejibinua 😂 😎
Umejuaje chali yanguUwongo Zambia shape unayo afu ata uzuri pia inaonekane ni mzuri Bila shaka wewe ni pisi ya chuga
Kabisa🤣Tena kende lililotoka kuminywa na watesi 😂 😂
Unaona sasa 🤷🏽♀️
Hatuna unyonge leoHmm mnawezana kwakweli! Mimi
Aanh🙌🏾
Ka-wine kananiwakilisha😃🤸🏽♀️
Tema moto kama dragon 🔥
Mpe Spain bingwaSawa nibetie basi kama mfano nione mkeka ukitiki nishawishike!
Ewaaa hio gif ndio appearance ninayoitafuta lakini Bongo hapana 🤣Tena kende lililotoka kuminywa na watesi 😂 😂
Katoto kakizaliwa kakiume nako kanarithishwa kitendea kazi cha hovyo tu 😤😵
View attachment 3632072
Haka ka dogo kanataka kuniletea mazoea sana 😂😅😅😅
Nimecheka kwa nguvu
Chalii ana jicho 👁 la mweweUmejuaje chali yangu
Ndiyo team yangu, siwapendi ArgentinaMpe Spain bingwa
Eti jamani, kwenye hili mnitetee tu 😂 🤣Astakafirilah 🙆
Muhimu sana 💯Pesa na Gari jamani 😛
Niandae meza yetu kwa ajili ya VIP treatment?Sawa mkuu, kitawaka kesho
Shida kale ka golden....naniii kanapewaga namba 101 tu achatuNdiyo team yangu, siwapendi Argentina